Wewe gwiji unaonaje ukitupa walau link ya hiyo sredi tujionee wenyewe jinsi gwiji mwenzako alivyo chemkaSasa kuna siku "gwiji" mmoja alikuwa amepost upupu kwa kutumia id fake, baadaye akacomment kwa id yake halisi tena akawa anaponda ile thread (yaani kama anajiponda mwenyewe vile), mzee si alikuja kujichanganya katikati huko...yaani watu hatukuamini! Hata huyu!!?
Mamako naye alikuwepo?wakati nakua
mashindano ya ngoma za asili
yaliamliwa kwa mwenye watu wengi hadi muda ngoma inaisha ndio mshindi
ikikaribia muda wa kuisha ngoma
ndo ulikuwa muda wa viroja
maana kila mmoja anata kukusanya watu
wapo walovua hadaharani
wapo walodi...na hadharani
ndo yamekuwa hivi.
mimi sio gwiji, lakini nawajua hao wanaojifanya "magwiji"mh! hapa ni magwiji na ugwiji wao! bahati nzuri wanajuana kwa style zao..Mitishamba akiwa katibu..:biggrin:
nitakuwa nimemkaanga sana, mana ni mtu ambaye mnamuona kama vile kila anachosema humu mnakishabikia.Wewe gwiji unaonaje ukitupa walau link ya hiyo sredi tujionee wenyewe jinsi gwiji mwenzako alivyo chemka
[h=3]Siri ya chupi![/h]Started by mitishamba‎, 9th January 2012 09:22 3 Pages •1 2 3Kwani ina nini?
Mbona hua mnafua na kuanika nje?Watu bana!!
[h=3]Siri ya chupi![/h]Started by mitishamba‎, 9th January 2012 09:22 3 Pages 1 2 3
- Replies: 88
Wwe naye...! Unataka tuanike mambo ya kikub hapa sebuleni kwa watoto!?Kuna kitu gani huko?
Wamekusoma hiyo!Shughuli ya kuwa na mult id's si ndogo inataka muda ila sishangai na nakubali wapo watu! Mana kweli unatakiwa uwe na muda wa ziada na wapo watu they are beyond addiction aisee hii id moja tu inanisumbua kuparticipate nipendavyo!
Suala la watu kujiona wanamiliki jukwaa hilo usiseme! Kuna mtu kasema wanalipia,hivi kuna kulipia humu tujuzeni vizuri! Humu kuna watu wanajua kupotezea hata hawana muda na michango ya watu wengine wanakuwa busy wao wanaojuana mi nimejiunga muda mrefu jf lakini si mchangiaji mzuri sababu zilizo nje ila nimeliona hili na huwa naona bonge la ushamba mana watu wamefahamiana humu lakini utazani wanajuana uraiani kama wamefikia kujuana walitokea humu yani si jukwaa la mmu peke yake watu wanapenda sana kupotezea wakiona ni new id kwao sielewi sababu ni nini kama si ushamba mana mchango ni mchango tu!
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!
nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"magwiji" bwana!
Dah!
Umenikumbusha siku nilikuwa najijibu thread yangu moja kwa kutumia ile ID yangu nyingine klorokwini
Hakuna aliyenistukia........ Sredi iliuza kishenzi
Sijui kama unajua navyokumisi.... sina uhakika.Kumbe..halafu nilishakushtukia wewe!!hujambo lakn?
Sijui kama unajua navyokumisi.... sina uhakika.
Ila sijambo, na weye nijalie haliyo.
Haya yote in bold nayahifadhi moyoni mwangu.... deep inside......Mie mzima honey,,switi hati...because this is the day..the Lord has made.we will rejoice and be glad..
Halafu na mie nimekumisi lakn kidogo tu.....ila ntakuja kukusalimu hivi karibuni...
hakuna siri hapo tena.Posa kuna mtu namsaidia kuchanga changa akifikisha kiasi alete nyumbani. . . labda nikuunganishie kwa desh desh?
Heheh. . . hiyo ni siri ya watu watatu.