Magwiji mmu na multi-id's

Dah, umemaliza kila kitu.
Hii watakuwa wanajifanya kama hawaioni, mana umetandika.

ID yako nyingine ni ipi?
 

Kumbe humu sio kuficha jina tu hata tabia lol
 
Dah, umemaliza kila kitu.
Hii watakuwa wanajifanya kama hawaioni, mana umetandika.

ID yako nyingine ni ipi?

Sina ID nyingine na wala sina mpango wa kuwa na nyingine.Sikuingia humu kwa sababu kuna nafasi but for the positive purpose
 
Daa..kweli Kongosho wewe ni Msukuma haswa, tena yule chapa ng'ombe...Mambo ya Manju kuibuka dakika za mwisho wa ngoma akiwa amemdandia fisi mgongoni..he he he!.
 
Ni kweli mitishamba muda mwingi nilikuwa silent reader, kupost nina shida ya uvivu wa kuandika, muda wangu mchache, simu nitumiayo saivi ni user friendly kuandika andika may be this year ntaonekana zaidi, laptop kuunganisha mara moderm mara kuwasha naona kazi ya ziada! But dont think iam so much lazy lol. .
 
mbona hata sim nayo inahitaji kuiwasha ili uandike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…