Mahaba chungulia simu ya mpenzi wako, Zari mwayego chunga mzigo wako

Mahaba chungulia simu ya mpenzi wako, Zari mwayego chunga mzigo wako

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]caption thouuuuuu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le m bebeeeez

Je wasanii wetu kuiga mambo ya nje yatasaidia kuwatangaza na kuinua sanaa ya Afrika mashariki kwa ujumla na kukuza vipato vyao?

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wameiga kuchunguliana simu ama kushikana mikono?
 
sasa watu wasishikane mikono kisa kim ameshikana na kanye? Duuhhh kaazi kwel kwel.
Wadada kuchungulia simu za wenza wao hata kwa kujificha ipo.
So wamefanya mambo ya kawaida sana ambayo yeyote anayafanya katika maisha ya kawaida na wao wamefanya sababu ni mambo ya kawaida pia.
 
Cha ajabu nini hapo mleta mada hadi uone wanaiga? Hiyo kutembea wameshikana mikono, au? Hivi ni kipi hapo ambacho hakifanywi na wengine wale wasio wasanii? Watu mna taabu... by the way, vipi wale jamaa wenye list ya wanaume 50 waliomgonga Zari hawaja-update list yao manake mwaka umpita sasa list ni ile ile ambayo hata hiyo nusu ya 50 haijafika!!
 
Nafikiri hiyo picha ya kuchungulia simu ya Zari ilitoka kabla ya hiyo ya Beyonce, how come yeye ndio awe ameiga!? Jus thinking.
 
Back
Top Bottom