Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Maneno ya Kingereza yanaleta hisia zaidi kuliko ya kiswahili
According to who?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya Kingereza yanaleta hisia zaidi kuliko ya kiswahili
Haloo una tatizo la kupenda sana kiingereza
Wote nyie ni walewale mnaopenda sana kiingereza yaani ni utumwa tu kifikra hakuna kingine. Nendeni pwani huko muone jinsi mapenz yalivyo matamu kwa kiswahili.. Mambo kama laaziz, barafu wa moyo wangu hivi kwa kiingereza yanasemwaje haya ..acheni ushamba bwana alah!Maneno ya Kingereza yanaleta hisia zaidi kuliko ya kiswahili