Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya

Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
 
Unakuwa na wale wazee kina mugalu, kagere ndo washambuliaji unaotegemea wakupe matokeo alafu kule nyuma unao wazee wengine wanaosubilia pensheni kina wawa na onyango unategemea nini kama sio kadi za njano za kutosha na magoli kama yote, wakikimbizwa kidogo tu lazima wafanye faulo maana awana kasi
 
Kuvunjika Kwa Koleo Sio Mwisho Wa Uhunzi...!
Michuano Ya Kimataifa Bado Simba Inaendelea.
Wenyewe Wa Michuano hii Ni Mnyama...!

Mpaka Sasa Kila Mtu Kashinda Kwake 'Except' Simba kuna sehemu alipata Sare ...! Ni mikakati tu.! Kupita Kwenye Kundi Hili Is Mandatory.
 
asimpange na mkewe hayupo mnataka Pablo amle matola? Mana tumeshasema hawasikii
 
Hii timu imejaza wachezaji wa viwango vya chini mno, Kibu, Mzamiru, Bocco, Mugalu, Wawa, hata hizo tatu kufungwa ni chache
Bwalya! Kagere! Nungu Nungu!- kwa kifupi timu unatakiwa ijengwe upya- ukiwaangalia Asec , unapata funzo kubwa kimpira, wengi ni vijana wadogo wenye vipaji vya mpira.
 
Back
Top Bottom