njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
katika uliowataja hapa hao wa kigeni wanaondoka mwezi juneHii timu imejaza wachezaji wa viwango vya chini mno, Kibu, Mzamiru, Bocco, Mugalu, Wawa, hata hizo tatu kufungwa ni chache
Bwalya! Kagere! Nungu Nungu!- kwa kifupi timu unatakiwa ijengwe upya- ukiwaangalia Asec , unapata funzo kubwa kimpira, wengi ni vijana wadogo wenye vipaji vya mpira.Hii timu imejaza wachezaji wa viwango vya chini mno, Kibu, Mzamiru, Bocco, Mugalu, Wawa, hata hizo tatu kufungwa ni chache