Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Wasomali kuna watu naona hawawaelewi vzuri wasomali kwa Money laundry wako vzuri sana
Hela chafu wanayoipata wanajua wapi pa kuipeleka na kuinvest au kuwapa wasomali wenzao walipo Sehemu fulani wanampa na anaifanyia kitu fulani.....
Syo mitanzania utakufa lijitu linakwiba mihela anakuwa na mabilion Hata kuwapa watu wengine awekeze hataki wasomali wao kwa Syo wachoyo ........
Hata yule msomali aliyekuwa anamikiki paradise alikimbiaaa somali kitambo akajaga Bongo na hela zake akawekeza na bado somali alikuwa n'a mtandao fulani hko
Mtanzania sahv unaweza ukawa n'a mipango mizuri ya kufanya na unahitaji cash lakini Nenda bank uone Nenda kakope uone bullshyt huko ukatako kutano nazoooo utakimbiaaa

Wasomali ni namba nyingine Syo kama Sisi Acha Sisi tuendeleee kubaniana tu

Ova
 
nimebaki nashangaa tuu kuanzia comment ya mwanzoni hadi hapa wanasema mambo ya "pirates" "ugaidi" "madawa"

Hata kama ni hivyo lkn mbona hata bongo hayo mambo yapo hatuoni uwekezaji wa hivyo au na wao wanaenda kuwekeza nchi jirani?
 
Network
Network
Network
Hawa jamaa wana network kali saana
msomali wa ilala leo ana network ya wasomali wenzie wa nje zaidi ya nchi 20 so wana Import BUSINESS IDEAS always money comes from ideas and experience
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Vijana wa Tanzania acheni kuangalia huyu ana nini yule ana nini! tumieni ubongo wenu kuwa wajasiriamali! hawa lazima walianza chini mpaka wakafika hapa!

Tanzania ni nchi ilobarikiwa na rasilimali nyingi sana tumieni rasilimali zenu mtafanikiwa!
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
nimebaki nashangaa tuu kuanzia comment ya mwanzoni hadi hapa wanasema mambo ya "pirates" "ugaidi" "madawa"

Hata kama ni hivyo lkn mbona hata bongo hayo mambo yapo hatuoni uwekezaji wa hivyo au na wao wanaenda kuwekeza nchi jirani?
Mawazo ya Wabongo yanachosha sana!
halafu karibu wote mtazamo mmoja
 


Bahati nzuri niliishi Aussie na Marekani, most Somalians NEVER work na hawapendi ku-assimilate...wanapenda sana maisha ya mlegezo kama vile kutunzwa na serikali huku wao wakishinda vijiweni. Wanaume wao wanapenda sana kuishi nyumba moja na hobby yao kubwa ni mabishano juu ya mapinduzi huko kwao. Hao unaosema walitoka Marekani na hizo nchi nyingine unafikiri it's that easy kuwa na mamilioni ya dollar kwa kazi ya kuajiliwa? Matajiri wa kisomali wengi ni majambazi/maharamia...wanatumia vijana waliosoma kuwawakilisha Kenya na Tanzania kibiashara.
 
La kuinuana hilo ni kwel kabisaa yaani basi tu wale jamaa nisiandike tu.
 

pia hatuitwi somalians call somalis
 
Umeongea vizuri sana mkuu.

Hawa jamaa kwanza ni waaminifu sana wao kwa wao, na huwa hawadhurumiani hata kidogo. Na mmoja wao akiishiwa wenzake wana mnyanyua haraka sana hata kwa kumpa mkopo bila riba. Na ndio maana Diaspora communities zao huwa zina nguvu sana popote pale duniani.

Njoo kwetu wabongo sasa, ndani ya familia tu kwanza unaweza ukawa na business idea ambayo wewe unaamini inaweza kubadirisha maisha ya familia nzima inahitaji mtaji kidogo tu, cha ajabu baba ako ndio anakuwa wa kwanza kukukatisha tamaa, utaskia "mwanangu hiyo biashara huwezi".

Unapanga kufanya kilimo na kijana mwenzako, wewe uko shamba una ng'oa visiki wakati yeye mmekubaliana aende mjini akanunue mbegu. Cha ajabu anapotelea huko huko alafu ile hela ya mbegu anaenda kunywa bia na hawara yake.

Unaenda benki kuomba mkopo hata wa laki tano uanzishe kiosk, wanakwambia tunatoa mkopo kwa mtu mwenye biashara ya miaka mitano.

Kiukweli tanzania kuna magumashi mengi sana linapokuja suala la ujasiliamari, acha tu tuendelee kuishi kwa kutegemea ajira za wahindi.
 
Hawa jamaa wapo mbali sana angalieni wasomali wa machame (reference)
 
Uyo Mohamed Nur aligombea urais uchaguzi uliopita kule Somalia, wamiliki wa City Garden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…