Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Nairobi South B, C, Eastleigh na 90% ya Bureau De Change ni WASOMALI nyinyi mnahangaika na ex wa masogange
 
Unawaponza sasa maana zee la kamera zee la kupozwa litawazengea sasa hivi na kuwachomekea ishu yoyote mf kutelekeza watoto ili lipate pasu pasu

Hata wewe ukiondoa uvivu ulionao na kuangalia kiundani hawa watu hela wanatoa wapi hutawaacha salama hawa jamaa, Somalia HAKUNA cha maana pale hata viwanda hamna. Matajiri wengi pale ni maharamia, wanapora watu hela na kuwekeza Kenya na hapa Dar, Somalia ni zaidi ya uijuavyo wewe. Hawa jamaa wana siri kubwa sana nyuma ya utajiri wao.
 
Usemayo ni kweli, tatizo ni pale mtu anaponyang'anya kwa matumizi yake binafsi, hapa inakuwa haina maana ni sawa na kuchukua mfuko wa kulia na kuingiza mfuko wa kushoto
 
Hao ndio wale walikuwa wanateka meli na kudai mabilion, wakishapata wanakuja kuwekeza tz na kenya
 
wasomali japo si wote ni wapigaji sana na meno ya tembo wanapenda sana izo mambo
Huyu jamaa wengi hawamjui, kabla ya dili za lugumi, yeye ndio alikuwa anafanya

Eti mpiganaji wakati ni tp mkubwa tu
 
Hata wewe ukiondoa uvivu ulionao na kuangalia kiundani hawa watu hela wanatoa wapi hutawaacha salama hawa jamaa, Somalia HAKUNA cha maana pale hata viwanda hamna. Matajiri wengi pale ni maharamia, wanapora watu hela na kuwekeza Kenya na hapa Dar, Somalia ni zaidi ya uijuavyo wewe. Hawa jamaa wana siri kubwa sana nyuma ya utajiri wao.
So ulazima utoke na hela somalia

1985-2000 hawa unawaona Tz Kenya sana invest wrote waliingia ulaya marekani Australia

Hawakwenda cheza muzic Bali Ni kazi tu

Pia wewe usizani kila msomali mwizi

Matagiri wakubwa wasoma ni watu wenye hofu na Mungu
 
mkuu
Huyu jamaa wengi hawamjui, kabla ya dili za lugumi, yeye ndio alikuwa anafanya

Eti mpiganaji wakati ni tp mkubwa tu
watu huangalia tu matokeo, kama wangejua mchakato wa haya matokeo wanayo furahia wala wasinge sema haya.

ukweli wasomali wengi wanapiga dili haramu sana.
 
mkuu

watu huangalia tu matokeo, kama wangejua mchakato wa haya matokeo wanayo furahia wala wasinge sema haya.

ukweli wasomali wengi wanapiga dili haramu sana.
Sio kwelii
 
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.

Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.

Tusaidiane mawazo

Amini usiamini jamaa hawa wana pambana sana ipo company moja walikuwa na daladala (min bus) waka ingia katika transport na hivi sasa wana vituo kibao vya mafuta 'petrol station' na bado wanaendelea transporting jamaa wanajituma sana.
 
Back
Top Bottom