Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sio kila mtu anafugwa kama Popo endelea na majukumu yako.Ndo matumaini unayo jipa? Hapo ukiwa kwenye AC unatekeleza majikumu ya anaye fanya uishi mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anafugwa kama Popo endelea na majukumu yako.Ndo matumaini unayo jipa? Hapo ukiwa kwenye AC unatekeleza majikumu ya anaye fanya uishi mjini
Haahaaaa utarudi jwenu Burundi weweWarudishwe kwao wanabana nafasi za ajira
Abhise warwa,nyama na NyoStarehe ya msomali ni kujenga nyumba nzuri na kuoa mke mzuri
Unawaponza sasa maana zee la kamera zee la kupozwa litawazengea sasa hivi na kuwachomekea ishu yoyote mf kutelekeza watoto ili lipate pasu pasu
Usemayo ni kweli, tatizo ni pale mtu anaponyang'anya kwa matumizi yake binafsi, hapa inakuwa haina maana ni sawa na kuchukua mfuko wa kulia na kuingiza mfuko wa kushotoHata wewe ukiondoa uvivu ulionao na kuangalia kiundani hawa watu hela wanatoa wapi hutawaacha salama hawa jamaa, Somalia HAKUNA cha maana pale hata viwanda hamna. Matajiri wengi pale ni maharamia, wanapora watu hela na kuwekeza Kenya na hapa Dar, Somalia ni zaidi ya uijuavyo wewe. Hawa jamaa wana siri kubwa sana nyuma ya utajiri wao.
Kama mm ningekupata weweStarehe ya msomali ni kujenga nyumba nzuri na kuoa mke mzuri
Huyu jamaa wengi hawamjui, kabla ya dili za lugumi, yeye ndio alikuwa anafanyawasomali japo si wote ni wapigaji sana na meno ya tembo wanapenda sana izo mambo
So ulazima utoke na hela somaliaHata wewe ukiondoa uvivu ulionao na kuangalia kiundani hawa watu hela wanatoa wapi hutawaacha salama hawa jamaa, Somalia HAKUNA cha maana pale hata viwanda hamna. Matajiri wengi pale ni maharamia, wanapora watu hela na kuwekeza Kenya na hapa Dar, Somalia ni zaidi ya uijuavyo wewe. Hawa jamaa wana siri kubwa sana nyuma ya utajiri wao.
watu huangalia tu matokeo, kama wangejua mchakato wa haya matokeo wanayo furahia wala wasinge sema haya.Huyu jamaa wengi hawamjui, kabla ya dili za lugumi, yeye ndio alikuwa anafanya
Eti mpiganaji wakati ni tp mkubwa tu
Sio kweliimkuu
watu huangalia tu matokeo, kama wangejua mchakato wa haya matokeo wanayo furahia wala wasinge sema haya.
ukweli wasomali wengi wanapiga dili haramu sana.
ukweli ni upi?Sio kwelii
Kuna watu wasema pembe za ndovuukweli ni upi?
Amini usiamini jamaa hawa wana pambana sana ipo company moja walikuwa na daladala (min bus) waka ingia katika transport na hivi sasa wana vituo kibao vya mafuta 'petrol station' na bado wanaendelea transporting jamaa wanajituma sana.Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo