Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo
Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mstaafu Method Kilaini, wa Jimbo Katoliki la Bukoba
Kabla ya mahafali Zoezi la utolewaji wa zawadi hizo lilifanyika katika kongamano la tatu la Wahitimu wa chuo hicho lililofanyika Desemba 20, 2024 katika ukumbi wa M15 uliopo chuoni hapo, siku moja kabla ya kufanyika kwa mahafali ya 27 ya SAUT.
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) Kampasi ya Mwanza waliofanya vizuri katika masomo yao na wanao taraji kuhitimu katika mahafali ya 27 ya chuo hicho wakipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli.
View attachment 3181489
Naibu Makamu mkuu wa chuo taaluma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT) DVCAA Prof. Hosea Rwegoshora amesema chuo hicho kinatambua mchango wa wahitimu na wake waliofanya vizuri katika masomo yao.
LIST OF PROSPECTIVE GRADUANDS
BAEC 28
BAED 741
BAMC 304
BAPRM 234
BASO 164
BBA 86
BPHILED 41
BSCCE 17
BSCEE 2
BSCP 115
BCT 110
LLB 704
NON DEGREE PROGRAM
307
POST GRADUATES STUDIES
230