Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, alifariki dunia mwezi Juni 2025 akiwa na umri wa miaka 68 katika hospitali moja Afrika Kusini. Familia yake ilikuwa inataka azikwe huko na kumzuia Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, kuhudhuria au kuzungumza katika mazishi ya kitaifa
Mnamo Agosti, Mahakama Kuu ya Pretoria iliamua kuwa serikali ya Zambia ina haki ya kumzika rais wake wa zamani, na ikaagiza mwili wake ukabidhiwe kwa serikali. Siku ya Jumanne, mahakama hiyo ilithibitisha tena uamuzi wake na kukataa ombi la familia la rufaa, ikisema hakuna uwezekano wowote wa kufanikisha rufaa mahakama ya juu. "Hakuna sababu za msingi za kutoa ruhusa ya rufaa kwa sababu suala hili linahusu mazingira ya kipekee ambayo hayatajirudia tena," ilisomeka hukumu hiyo
Uhusiano kati ya Lungu na Hichilema ulikuwa wa kisiasa na chuki za muda mrefu. Wakati Lungu akiwa madarakani, Hichilema aliwahi kufungwa jela mwaka 2017 kutokana na mzozo wao wa kisiasa. Hata baada ya kuachia madaraka, Lungu alidai serikali ya Hichilema ilikuwa ikimtumia polisi kumnyanyasa na kumzuia kusafiri, madai ambayo serikali ilikanusha. Familia yake pia ilisema serikali ilikuwa imemzuia mwanzo kusafiri kwenda Afrika Kusini kutibiwa
Soma pia
=========
A court in South Africa has denied a legal bid by the family of former Zambian president Edgar Lungu to appeal a ruling that he must be buried in his own country
Lungu, who served as the leader of Zambia from 2015-2021, died in a South African hospital in June. He was 68
His family want him to be buried in South Africa and to bar current Zambian president President Hakainde Hichilema from attending or speaking at a state funeral service.
However, the Pretoria High Court ruled in August that the government of Zambia had a right to bury its former president, and ordered that his remains be handed over to the state
On Tuesday, the same court confirmed its earlier ruling and denied the family leave to appeal, saying there were no prospects of an appeal succeeding in a higher court
“We are satisfied that no compelling reasons exist to grant leave to appeal simply because the matter is so fact specific that there is very little to no prospects that the same set of facts will confront a court again,” the court’s judgment said
Lungu and Hichilema were sworn political rivals. Their conflict led to Hichilema’s imprisonment in 2017, when Lungu was president
Last year, Lungu accused Hichilema’s government of using police to harass him and restrict his movements. His family also said the government had initially prevented him from traveling to South Africa for treatment, a charge the government denied
Source: AP NEWS

- Mahakama ya Afrika Kusini imetoa maamuzi ya Serikali ya Zambia kusimamia mazishi ya Edgar Lungu
- Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini
- Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani