Leo waislam wameshindwa kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam
Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA
Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum View attachment 3520003
Waislam wameshindwa au wameshinda?Leo waislam wameshindwa kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam
Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA
Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum View attachment 3520003
Kuna mwamba amekasukuma ka-shekhe flani hapo kame slide utafikiri kana matairi miguuni..
Bakwata hawana tofauti na CWT wao wanahisi wana haki ya kuwamiliki binadamu wote.Eti BAKWATA wanasema kama wewe ni muislamu unakuwa mwanachama wao utake usitake.
Waislam wana akili hawa Bakwata ndo taasisi ya CCMHata hamjaelewa maamuzi BAKWATA kosa lao ni kutaka kila muislamu anapotaka kufanya jambo lake labda kuanzisha Taasisi yake lazima aanzie bakwata ambalo sio jambo sahih Bakwata ni taasis kama taasis nyingine zilizosajiliwa...
Katika suala la amani ya nchi hii na kinachoendelea kupambana na huu udini unaondelea ktk hii nchi waislamu wote msimamo wao ni mmoja kaeni mkilijua hili wagalatia...
Wanataka Taasisi ziitambuwe Bakwata kama Supreme authority kwenye katiba zao. Jambo hili sidhani kwamba ni sawa kwa katiba ya nchi.Hata hamjaelewa maamuzi BAKWATA kosa lao ni kutaka kila muislamu anapotaka kufanya jambo lake labda kuanzisha Taasisi yake lazima aanzie bakwata ambalo sio jambo sahih Bakwata ni taasis kama taasis nyingine zilizosajiliwa...
Katika suala la amani ya nchi hii na kinachoendelea kupambana na huu udini unaondelea ktk hii nchi waislamu wote msimamo wao ni mmoja kaeni mkilijua hili wagalatia...
Kama CWT ya walimuEti BAKWATA wanasema kama wewe ni muislamu unakuwa mwanachama wao utake usitake.