Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

Achana na Hilo dogo:
Lile la Chang'ombe kalibu na Kibasila:
Bora wangelikodisha:
 
Hao wala hawakupewa rushwa kama unavyojidanganya hao waliigawa kwa mahaba yao kwa muislam mwenzao,usually hao alimradi amenunua muislam mwenzao au kitu kafanya muislam mwenzao basi inakuwa siyo nongwa.

Kama hivi,Watanganyika wameuliwa hapa but hao hao wanaitisha press kumsafisha aliyesaini order eti anaonewa kwa sababu muislam,hovyo kabisa.
 
BAKWATA taasisi ya ovyo
 
Nahisi hao Bakwata ndio wanaopiga pesa nyingi zinazotakiwa kwenda kwenye miradi ya kiislamu, pesa zikitoka hutoka za waislamu kumbe wanapewa Bakwata wanazipiga hahaha, always huwa nafikiria kwenye huu mtizamo maana sioni cha maana wanachofanya zaidi ya blah blah, wao husema ni chombo cha waislamu, waislamu kwenye mambo gani?...Taasisi nyingine za kidini athari zao zinaonekana wazi kabisa Wana vitu vinavyoweza kusaidia jamii, Bakwata utawaona kwenye mambo ya mwezi sijui umetoka Zanzibar nk.. Nadhani Wana ofisi Kila mkoa na wilaya, tija Haionekani zaidi ya kualikwa kwenye sherehe au vikao kupiga Dua na Kula ubwabwa.
 
mnashangilia lkn hamjui kwamba you are creating a monster, bakwata ndiyo chombo pekee kinachoweka muslims at bay, wakiua bakwata kitakachofwatia ni islamic state, and believe me kama wewe ni Christian basi haujui unachoshangilia.

punchline, muslims hasa hawa wa third world countries hawaioni dunia jinsi ninyi mnavyoiona, muslims wako vitani against the so called ''mfumo Kristo'', na bakwata is standing in the way, wakiondoa bakwata kinachofwatia ni jihadists na caliphate mpaka mwisho hata kama yakibakia majivu, shehe ponda anapigania uislamu na kamwe hapiganii demokrasia kama mnavyojiaminisha ila yuko na nyie kwa sababu anaweza kuwatumia kama daraja tu lkn hana lengo lolote la kuleta katiba wala haki kwa wote, kama hamuamini mpeni ofa ya kuwa na mwanachama wa chadema halafu muone kama atakubali, kuna sababu kwa nini yuko cuf au act.

be careful with what you wish for, alisema wise man ....
 
Safi kabisa
Naona umetupata vizuri sana
Hapa hakuna kulala
Wazungu huko wanasherehekea krismas roho mkononi
Globalise the Intifada
 
Ukombozi mzuri. Sasa twende na kwenye mpira wa miguu, mbio na sehemu zote ambako kuna umonopoly wa kihuni. TFF isimamie mpira wa waliohiari kuwa chini ya TFF. Mi nikianzisha ligi na sitaki kuwa kwenye chain ya TFF-CAF-FIFA nianzishe.
 
Hiyo vita ipo wapi na ipo kwenye nini? Maana siono chochote tangile, zaidi watu wanabwabwaja tu wakishashiba kande
 
Tena ingekuwa ni jambo hema kama waislam wasuni wangeikataa BAKWATA ili waanzishe taasisi yao badala ya hii BAKWATA jumuia ya CCM. Waislam wasuni wanatakiwa wao wenyewe kuanzisha taasisi yao inayoendana na imani yao na itakayokuwa chini yao kuliko hii iliyoanzishwa na TANU/CCM ambayo kwa kweli inamsikiliza mmiliki wake, yaani CCM. Kwa hali ya sasa ambapo CCM.imeamua kwa nguvu zake zote kumtumikia shetani, na hizi taasisi zake zote, UVCC, UWT, BAKWATA, Jumuiya ya wazee, zote zinalazimika kumtumikia shetani.
 
Hii ni habari mbaya sana kwa CCM, chawa wao(jumuia yao) kakatwa mapembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…