Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge.
Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini kimejificha hapo?
Hata kama mnahisi watanzania ni wendawazimu hii imezidi kiasi.
Barua iliyoandikwa na Spika Ndugai
=======
Zaidi soma:Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa