Mahakama imeamua kutuona watanzania hatuna ufahamu?

Siyo hajui isipokuwa alifanya makusudi
Inaweza kuwa siyo spika aliyeandika hiyo barua ,makachero wengi wa ccm ni vilaza,ukute hiyo barua walimletea na AK47 kichwani asaini.sasa kwa vile ni mavilaza hayajui utaratibu ndo maana ya kile tunachokiona sasa.
 
Lakini hapa Kuna vitu viwili, bandiko la mleta mada Ni press release ya Ndungai na sio nakala ya barua.

So, hapa Kuna possibilities mbili,
.... Ni ama Ndungai alipindua maandishi ya alichokiandika kwa kueleza alindikia Katibu Mkuu CCM balala ya Bunge

... Ama (na hapa Kuna uwezekano Mkubwa Sana), barua hiyo ilienda kubadilishwa fasta na ndio ilivyokuwa tendered Mahakamani.

CCM NI ILE ILE AKILI NI ZILE ZILEEEE...........
 
kaka unafikiri hata katiba wanaijuwa basi? kila siku kudai katiba mpya akati ya zamani hawaijui halafu hawaeleweki wanataka nini ndugai aurudi bungeni au vipi?
 
Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge.
Uwezo wako ni mdogo sana kuchanganua mambo
Unatuwekea tangazo la kujiuzulu badala ya barua?
 
Inaonyesha kama watu hawana kazi za kufanya ndiyo maana wanakomalia vitu marginals vya namna hii. Nadhani Mahakama imeona bora watu wakaendelee na kazi za maana kama wanazo, kuliko kuwaacha wakaendelea na utoto utoto wa namna hii. Huu ulikuwa ni utoto perce
 
Yani wali ua demokrasia, walijichagua wenyewe kwenye nafasi za ubunge walivyo fika bungeni wakakumbuka kuna hela zina toka EU masharti ni kwamba muwe na upinzani bungeni, wakakaa wakatafakari waka wachukua kina Halima
Pia ikiwa ni kesi itaamuliwa kuwa hao wapo kihalali so kuna haja gani kufungua mashtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…