Mahakama imemuachia mtumishi wa Mungu

Mahakama imemuachia mtumishi wa Mungu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Mahakama imemuachia Yesu wa Kenya baada ya wanasheria wake kuhoji mahakama kama inafikiri sio yesu halisi original basi wamlete yule origina wanae mujua, mahakama ikawa kimya bila jibu na ikamua kumuachia baada ya kumkosa yule yesu original.....
Mytake, born again christians is a cult taking advantage of millions of ignorant and poverty striken Africans especially in Ldcs take care.
Screenshot_20230516-193525_WhatsApp.jpg
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji hivyo bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Hizo ni hearsay leta ushahidi wa hayo maneno kama sio myth tu
 
Mahakama imemuachia Yesu wa Kenya baada ya wanasheria wake kuhoji mahakama kama inafikiri sio yesu halisi original basi wamlete yule origina wanae mujua, mahakama ikawa kimya bila jibu na ikamua kumuachia baada ya kumkosa yule yesu original.....
Mytake, born again christians is a cult taking advantage of millions of ignorant and poverty striken Africans especially in Ldcs take care.View attachment 2624356
Kwani mmesahau vile mwamposa ailiachiwa.. aliua watu ishirini kwa uzembe wake
 
Mleta mada ulichoandika uongo mahakama iliagiza akapimwe kama hana ugonjwa wa akili kagundulika anao mahakama ikamwachia kwa dhamana ya shilingi 300 za kenya sawa na shilingi elfu sita za Tanzania
 
McKenzie amefikisha maiti 201 leo wamegundua maiti zingine 28, hiyo ndo dini ya walokole ambao ni cult, maiti zingine hazikua na Figo ndo ugunduzi upya.
 
Wao wanafikiria yesu ni mweupe et! Fikra potofu tu- YESU kula bata mwanangu
 
Mahakama imemuachia Yesu wa Kenya baada ya wanasheria wake kuhoji mahakama kama inafikiri sio yesu halisi original basi wamlete yule origina wanae mujua, mahakama ikawa kimya bila jibu na ikamua kumuachia baada ya kumkosa yule yesu original.....
Mytake, born again christians is a cult taking advantage of millions of ignorant and poverty striken Africans especially in Ldcs take care.View attachment 2624356
Kuna uhusiano gan kati ya born again christians and this psychological molested guy, kama Yesu mwenyewe alisema watakuja wengi Kwa jina langu wakisema ni Mimi kristo au bible husomi mkuu unashikiwa utash na ma dogma ya chombo lenu
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Ndio wamlete Sasa atembee juu ya maji! 😅😅

Dunia inaenda ukingoni
 
Mleta mada ulichoandika uongo mahakama iliagiza akapimwe kama hana ugonjwa wa akili kagundulika anao mahakama ikamwachia kwa dhamana ya shilingi 300 za kenya sawa na shilingi elfu sita za Tanzania
Sikiliza ntvkenya sasa hivi uone taarifa unavyo sema, fanya tafiti kabla ya kuandika sisi wote ni magalatia ila tunaumia jinsi walokole wanavo dhalilisha dini yetu.
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Angejibu;"Your honour,saa hii nimekuja kuchukuanga kondoo zangu tu.Zile muujiza sifanyangi tena.Juu tutachelewa kufika kwa Baba.My apologies,your honour"!😜😜😜
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Umeambiwa umlete yesu wa kweli. Kutembea kwenye maji ni hoja nyingine kabisa.
 
Hahaha Haya mambo ya imani bwana, akili kumkichwa.
Ukizama na imani yako unapigwa, ukizinduka huna kitu.
 
McKenzie amefikisha maiti 201 leo wamegundua maiti zingine 28, hiyo ndo dini ya walokole ambao ni cult, maiti zingine hazikua na Figo ndo ugunduzi upya.
Sio walokole wale ni cult

Walokole ni wafuasi wa Yesu ,Cult huwa ni wafuasi wa mtu wale waliokufa walikuwa wafuasi wa mtu ambaye ni Makenzie,Yesu wa Tongaren nk

Hata Uslamu kuna wafuasi wa Allah na wafuadi watu mfano wafuasi wa Osama , Shehe ponda nk

Kuna tofauti ya walokole na Cult
 
Back
Top Bottom