wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
Mahakama nawenyewe maboya tu
Kama ni yesu original wangemwambia wamsurubu kama angekubali
Kama ni yesu original wangemwambia wamsurubu kama angekubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah wanamuonea yesu wa kenyaWao wanafikiria yesu ni mweupe et! Fikra potofu tu- YESU kula bata mwanangu
Wewe acha udini uislamu unaingia je hapa nyie ndo mnapotosha watu kwa upendo wa kijinga, mtu anawambia wafuasi wake wafunge siku 40 ili wamuone yesu ndo unasema sio walokole we vip? Uko sawa sawa kweli?Sio walokole wale ni cult
Walokole ni wafuasi wa Yesu ,Cult huwa ni wafuasi wa mtu wale waliokufa walikuwa wafuasi wa mtu ambaye ni Makenzie
Hata Uslamu kuna wafuasi wa Allah na wafuadi watu mfano wafuasi wa Osama , Shehe ponda nk
Kuna tofauti ya walokole na Cult
Hilo aligoma hapo awali.Adhabu hairudiwi mara mbili kwa kosa moja.😂😂😂Mahakama nawenyewe maboya tu
Kama ni yesu original wanamwambia wamsurubu kama angekubali
Sidhani kama umemuelewa!Wewe acha udini uislamu unaingia je hapa nyie ndo mnapotosha watu kwa upendo wa kijinga, mtu anawambia wafuasi wake wafunge siku 40 ili wamuone yesu ndo unasema sio walokole we vip? Uko sawa sawa kweli?
Uislamu pia una cult kuna wafuata mtu Wafuasi wa Ponda, nk Uislamu unao watu kama hao akiwaambia vaeni mabomu mjilipue katikati ya watu wanafanya hivyo wafuasi alkaeda alshababu boko haram zote hizo ni Cults kwenye uislamuWewe acha udini uislamu unaingia je hapa nyie ndo mnapotosha watu kwa upendo wa kijinga, mtu anawambia wafuasi wake wafunge siku 40 ili wamuone yesu ndo unasema sio walokole we vip? Uko sawa sawa kweli?
Huyu wa Kenya amewahi fursaKuna uhusiano gan kati ya born again christians and this psychological molested guy, kama Yesu mwenyewe alisema watakuja wengi Kwa jina langu wakisema ni Mimi kristo au bible husomi mkuu unashikiwa utash na ma dogma ya chombo lenu
AngekujibuMi ningekuwa Jaji ningetoa challenge
Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote
Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Amemponyoka pilato🤗"Yesu" akiwa amepozi.🤔🤔🤔🤔🤔