Mahakama imemuachia mtumishi wa Mungu

Wewe acha udini uislamu unaingia je hapa nyie ndo mnapotosha watu kwa upendo wa kijinga, mtu anawambia wafuasi wake wafunge siku 40 ili wamuone yesu ndo unasema sio walokole we vip? Uko sawa sawa kweli?
 
Sidhani kama umemuelewa!
 
Wewe acha udini uislamu unaingia je hapa nyie ndo mnapotosha watu kwa upendo wa kijinga, mtu anawambia wafuasi wake wafunge siku 40 ili wamuone yesu ndo unasema sio walokole we vip? Uko sawa sawa kweli?
Uislamu pia una cult kuna wafuata mtu Wafuasi wa Ponda, nk Uislamu unao watu kama hao akiwaambia vaeni mabomu mjilipue katikati ya watu wanafanya hivyo wafuasi alkaeda alshababu boko haram zote hizo ni Cults kwenye uislamu
Kwenye Ukristo Cults ambaxo ni kama wafuasi wa Yesu wa Tongaren,Kibwetere,Makenzie nk

Cults always huwa wafuasi wa mtu
 
Kuna uhusiano gan kati ya born again christians and this psychological molested guy, kama Yesu mwenyewe alisema watakuja wengi Kwa jina langu wakisema ni Mimi kristo au bible husomi mkuu unashikiwa utash na ma dogma ya chombo lenu
Huyu wa Kenya amewahi fursa
 
Mi ningekuwa Jaji ningetoa challenge

Ningesema Yesu wa kweli hutembea juu ya maji bila kudhurika na chochote

Hivyo kuthibitisha kama huyu ndiye mwenyewe ebu zoezi hilo tukalifanyie kwenye mto wenye mamba na viboko ili tuone kama ni kweli.
Angekujibu

"usimjaribu bwana mungu wako"

Halafu akapita hivi
 
Nilivyosoma heading nilistuka, nikajua wamemuachia Mckenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…