Mahakama hiyo hiyo ilisema uchaguzi wa urais urudiwe na ukarudiwa. Kwani unasahau haraka aje. Mahakama ya Kenya hapana machezo.
Congratulations to Kenya..hahahaha some portions have been suspended completely haswaa zile zinazokiuka katiba na zina nia ya kukandamiza...chances are that it will be suspended as a whole and returned to parliament for further consultation
poleni sana waTanzania. na jiwe linazidi kuwa gumu as time goes on...
That's a temporary block, hizo ni sheria na zimesainiwa na Raisi.. Hapo wataenda kushindana mahakamani lakini hawatashinda kamwe
Pending definitive ruling on Juy 7. Uamuzi huyo siyo wa mwisho.
Hii sio mara ya kwanza Rais amefanyiwa hivyo, it has happened manyvtimes b4.... Kwa mfano hapa rais alijaribu kugeuza sheria ili awe na uwezo wa kuchangia zaidi ikija kwa ku appoibt jaji mkuu lakini mahakama ikatupilia hio sheria mbali baada ya bunge kuipitishaDo you think it is over? and the government will accept? The government will appeal against this block... and i can assure you they will win this...
Nothing will change.....this is temporary block...
Katiba.We have to learn something from them.kwa nini kwetu mahakama zikumbatie vitu vya namna hii?
that's why Kenyans will always be ahead of everyone in the whole EAC block.MAY 30, 2018
Kenyan court blocks new online rules after free speech petition
NAIROBI (Reuters) - A new cybercrime law came into force in Kenya on Wednesday, but without a ban on βfalseβ information, after bloggers and journalists won a court order blocking rules they said could curtail free expression.
The Computer Misuse and Cybercrimes Act, signed by President Uhuru Kenyatta two weeks ago, is aimed at addressing online abuse that was not covered by laws that predated the proliferation of social media.
But the Bloggers Association of Kenya (BAKE) and the Kenya Union of Journalists (KUJ) successfully petitioned a court to block parts of it.
On Tuesday, high court judge Chacha Mwita listed 26 sections of the law as regulations that would affect fundamental rights and freedoms and granted βconservatory ordersβ preventing anyone being charged under those clauses, pending a definitive ruling on July 18.
BAKE director James Wamathai said: βThese sections purport to regulate false news but unfortunately that is against the constitution ... there are existing laws to remedy cases when someone is lying, we donβt need this.β
Other parts of the law penalize cyber-espionage and child pornography.
Judge Chacha Mwita has declared that the following sections are suspended until the case is heard:
Section 5 β Composition of the National Computer and Cybercrimes Coordination Committee
Section 16- Unauthorised interference
Section 17- Unauthorized interception
Section 22 β False publications
Section 23 β Publication of false information
Section 24- Child pornography
Section 27 β Cyber harassment
Section 28 β Cybersquatting
Section 29 β Identity theft and impersonation
Section 31 β Interception of electronic messages or money transfers
Section 32 β Willful misdirection of electronic messages
Section 33 β Cyber terrorism
Section 34 β Inducement to deliver electronic message
Section 35- Intentionally withholding message delivered erroneously
Section 36 β Unlawful destruction of electronic messages
Section 37- Wrongful distribution of obscene or intimate images.
Section 38- Fraudlent use of electronic data
Section 39- Issuance of false e-instructions
Section 40- Reportng of cyber threat
Section 41- Employee responsibility to relinquish access condes
Section 48 β Search and seizure of stored computer data
Section 49 β Record of and access to seized data
Section 50 β Production order
Section 51- Expedited preservation and partial disclosure of traffic data
Section 52 β Real-time collection of traffic data
Section 53- Interception of content data
Other East African countries have passed laws that activists complain curtail free expression.
Tanzaniaβs government won a court case on Tuesday against opponents of new regulations that require bloggers and activists to pay a license fee of up to $900 and disclose their financial backers.
In April, Uganda announced plans to tax social media users. Kenyan court blocks new online rules after free speech petition
Hilo halina ubishi kabisa. Kilangila.Lakini Kenya tuko mbele kushinda Tanzania, kubali tu. Atleast sisi tunaeza pambana na serikali yetu hadi serikali yenyewe iinuwe mikono na kukubali kushindwa kwenye maswala ya sheria. Nyinyi hamuwezi hata jitetea.
Hilo halina ubishi kabisa. Kilangila.Lakini Kenya tuko mbele kushinda Tanzania, kubali tu. Atleast sisi tunaeza pambana na serikali yetu hadi serikali yenyewe iinuwe mikono na kukubali kushindwa kwenye maswala ya sheria. Nyinyi hamuwezi hata jitetea.
Acha uongo yule Mkenya/Mcanada aliyemuapisha Raila ilikuwaje? Mahakama yenu iliamuru serikali impeleke mahakamani lakini ikamfukuza kwenda Canada hata aliporudi akavurushwa mpaka Dubai tena serikali ilifanya dharau ya hali ya juu kwa mahakama yenu pamoja na kuwa na Katiba mpya mnayoisifia kila wakati. Serikali kwa nchi za Afrika ni muhimili uliojichimbia zaidi.Lakini Kenya tuko mbele kushinda Tanzania, kubali tu. Atleast sisi tunaeza pambana na serikali yetu hadi serikali yenyewe iinuwe mikono na kukubali kushindwa kwenye maswala ya sheria. Nyinyi hamuwezi hata jitetea.
Hapo serekali ilikiuka sheria na ilikua inasikitisha kuona inspector mzima anakiuka maagizo ya mahakama hadi akatozwa faini ya kilazima kutoka kwa mshahara wake..Acha uongo yule Mkenya/Mcanada aliyemuapisha Raila ilikuwaje? Mahakama yenu iliamuru serikali impeleke mahakamani lakini ikamfukuza kwenda Canada hata aliporudi akavurushwa mpaka Dubai tena serikali ilifanya dharau ya hali ya juu kwa mahakama yenu pamoja na kuwa na Katiba mpya mnayoisifia kila wakati. Serikali kwa nchi za Afrika ni muhimili uliojichimbia zaidi.
Mkuu nataka nikuambie duniani hakuna haki sawa kwa wote! Angalia Marekani magaidi waliwaweka quantamol wale watuhumiwa wa ugaidi na hawakuwafikisha mahakamani kabisa pamoja na mahakama za Marekani kuamuru kambi hizo zifungwe hazikufungwa kabisa!! Hakuna haki duniani labda mbiguni.Hapo serekali ilikiuka sheria na ilikua inasikitisha kuona inspector mzima anakiuka maagizo ya mahakama hadi akatozwa faini ya kilazima kutoka kwa mshahara wake..
Bado changamoto ziko tele, hatusemi hatuna shida, lakini tunacho kisheherekea ni kwamba, mbali na changamoto zote hizo, sote tunakubali kwamba mahakama iko huru kiasi cha kuaminika.... ingekua ni nchi zengine Africa huyo jaji angekua aliogopa kwenda ana kwa ana na serekali, eti alimtaka waziri na inspekta jenerali waje personally na huyo Miguna au sivyo wahukumiwe in absentia..
Nalendwa, njoo humu jirani. Kuna goodnews hapa.
Hongereni Kenya huku tanzania wabunge 250 wanapitisha sheria ya kutumia mtandao mmoja tu jamiiforums