kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Kwenu wadau..
Huwa napata sana shida ninaposikia mtuhumiwa kafikishwa mahakamani na kasomewa mashitaka lakini hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa mahakama haina uwezo wa kusikiliza aina hiyo ya kesi ya mtuhumiwa.
Sasa kwa wajuzi wa sheria na taratibu za mahakama, huwa kuna ulazima gani wa kumpeleka mtuhumiwa kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kuisikiliza kesi yake? Na huo utaratibu upo duniani kote au ni hapa kwetu tu?
Nawasilisha,
==================