Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Nchi bora kabisa hii....

Fikra zako tu zinakutesa.......kwa ulivyo hata huko mbinguni utakuita hayohayo maneno mabaya...🤣🤣
we ushawahi kupandiswa cheo kazini kwako wakati bado upo kwenye key project kama kiongozi?
 
Kupambana na dola kwa katiba hii ni kazi nzito sana, tukubali Mbowe anafungwa - sasa tunajipangaje kama watetezi wa nchi hii?

CCM chini ya mwenyekiti wao wameamua kinaga ubaga kumfunga Mh. Mbowe hatuna namna nyingine ni suala la muda tu.
neno
 
Kipi mkuu, nipo na mke wa mfungwa wa miaka 30 ndo tunatoka mahakamani tunakwenda kupumzika....anasema jamaa kumbe alikuwa hata hawezi, moja chali.
Utafaidi ila pia utagharamika kutunza miaka 30 kazi iendelee
 
Huyu jaji ni kabila gani? dini gani? anaishi wapi? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri na hata elimu by the way.
Nasikia ni Mkwe wake Mwendazake!
 
Makamanda mahakama iko huru tulieni atakuja jaji mwingine.
 
Leo nimekupa Like yangu, Mama aache kubambakia watu kesi. Huku mtaani mama anafanya vizuri sana ni vyema akaachana na hii kesi ya mbowe itamuondolea yale mazuri yote ambayo ameanza kuyafanya ndani ya miezi 7 ya uongozi wake.
Ishamuondolea ,Samia hakubaliki tena
 
Hongera sana kwa kutuletea updates kwa uhakika.

Ama kweli jf ni zaidi ya media
 
Ngumu kumeza ni kwamba:-

Tunajua kila kitu kimepangwa, Jaji atakayekuja ataendelea na shauri hili atajitoa dk za mwisho kwa sababu yoyote ile, then atakuja Jaji wa mwisho kumalizia kesi na kusoma hukumu ya kifungo cha maisha kwa Mh. Mbowe... Litafunguliwa shauri Mahakama Kuu la kuifuta CDM, kisha itafutwa kabla ya uchaguzi Mkuu ujao. Sabaya atatoka baada ya miaka 3 ama 4 hivi. Kama kawaida watanzania tutasahau na CCM itatawala kwa raha huku ACT akiwa ndiyo chama kibaraka wako mkuu ku-justfy upinzani nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…