Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
Sipati picha uwe na msiba wa kuvunjiwa kama machinga then at the same time unaambiwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Kazi ipo.
 
Soma vizuri hints za hukumu yake. Amenukuu vifungu vya 50(2) na 51 vinavyotoa exemption ya juu ya masaa 4 ya kuchukua maelezo ya mtuhumiwa. Mambo ya sheria hayataki mahaba. Baki na mahaba yako na Mbowe lakini sheria itendee haki.
Hizo exemptions zilitakiwa kuwa proven beyond reasonable doubt.

1. Pawepo na kibali toka kwa Afisa mpelelezi mkuu au mahakama ya kuongeza muda - hili hajasema kama hicho kibali kilikuwepo.

2. Kamtumia Lijenje kama ndio sababu ya muda wa kutoa maelezo kupitishwa, ameamua kwa maoni yake kusema hii sababu ina mantiki, wakati kimsingi hata huyo Lijenje hajawahi kumuona, hapa napo ameshindwa ku proof beyond any doubt.
 
Hizi haraka ndio zimemfanya akatoa hukumu ya ajabu kabisa, bora angejitoa kabla ya hii hukumu.
 
namsubiri erythrocyte aje aharishe hapa maana mpaka sasa hivi kishajinyea huko aliko bwana wake anaona kabisa anakula mvua za kutosha alifurahia sana sabaya alivyohukumiwa sasa tunasubiri mbowe ale mvua na sisi tuka mrthi mkewe
 
Mbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya Chacha wangwe inamlilia
Sio mbaya kuota ndoto/njozi ila yategemeana.
Kama njozi hizo zatokana na matamanio ya kishetani kama uliyonayo, BASI ndugu wahitaji kwenda ukatubu ili uweze kumrudia Mungu.
KARIBU. Amen.
 
Nimejiuliza maswal ya namna hii, nikasema pengine ana vithibitisho ingawa sikuona update zozote zikielezea Kama Kuna evidence yoyote!

Hangaya akizungumzia jinsia yake Kila mara ujue anataka kuprove kuwa Ni ngangali Kama mtangulizi wake!!
 
Kwa kweli leo ni siku ya aibu katika tasnia ya haki nchini.

Jaji Siyani bila kunukuuu kifungu chochote cha sheria katoa maamuzi!

Hii ni hukumu ya kipekee sana, na Jaji Sitani kajiongezea CV!

Aibu!
kwani alisoma hukumu yote au alisoma kwa ufupi tu?
tupunguze lawama zisizo na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…