Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

Mmh ngoja niishie hapa tutasuntwa naona binti ana watetezi kila kona. Wakati enzi zile za kanumba kufariki wote walimuita lulu majina mabaya yoote duniani
Magazeti yapo na kipindi cha mkasi kipo na yeye mwenyewe alivyokamatwa aliandika 18 baadae tunaskia 17 jamani tunakumbuka vzr
 
Mungu saidia JUSTICE FOR KANUMBA.Eliza atuambie nini kilichotokea mule chumbani?Afungwe tu Lulu.
Sitashangaa akiachiwa maana kesi za jinai zinahitaji ushahidi usio na shaka yoyote in case of any doubt should be resolved to the benefit of accused person.

Hivi ni ushahidi gani ambao unadhani wanao jamhuri ambao unaweza kuthibitisha moja kwa moja kwamba Lulu ndiye aliyemuua kanumba?

Mashahidi wote hawakuona wala kushuhudia tukio anachokisema lulu kuwa marehemu alianguka mwenyewe it is possible and that raise a doubt unless there is such an evidence!
 
Asante
 
lulu Mungu amuongeze amalize hili seke seke salamaaa..

I wish usiku ule angekuwa amelala kwao kanumba kama siku yake ilikuwa imefika angefariki mwenyewe tu
 
Usifananishe kesi ya kuiba Na kuua.
Je umejiuliza why Mahakama iseme ana kesi ya kujibu??
 
CHAPTER XIXA
Murder and Manslaughter
Manslaughter- 195. Any person who by an unlawful act or omission causes the death of another person is guilty of the felony termed "manslaughter" An unlawful omission is an omission amounting to culpable negligence to discharge a duty tending to the preservation of life or health, whether such omission is or is not accompanied by an intention to cause death or bodily harm.
198. Any person who commits the felony of manslaughter is liable to imprisonment for life.

Mimi siyo mwanasheria,nimepitia pitia tu kwenye penal code,nikuta hizo section,japo nimeelewa kiasi chake but,wanasheria watatuelezea zaidi.
Kuua kwa kutokusudia(Manslaughter) hakufanyi mtuhumiwa asihukumiwe kwenda jela.
 
Na uelewe hakuna Jaji ambaye anaweza kutowa hukumu ya kifungo hasa kesi ya aina hii kama hakuba ushahidi usiyotia shaka yoyote dhidi ya mtuhumiwa.

Case hii hakuna eye witness hata mmoja, karata yangu naiweka kwa Lulu kuachiwa huru na mahakama.l
 
Na uelewe hakuna Jaji ambaye anaweza kutowa hukumu ya kifungo hasa kesi ya aina hii kama hakuba ushahidi usiyotia shaka yoyote dhidi ya mtuhumiwa.

Case hii hakuna eye witness hata mmoja, karata yangu naiweka kwa Lulu kuachiwa huru na mahakama.l
Uko sawa mkuu Matola,Ila kwani ni lazima kuwe na eye witness?.Au hata circumstantial evidence(Ushahidi wa kimazingira) unatosha kutoa hukumu stahiki?.Rejea kesi ya Oscar Pistorius.
 
Uko sawa mkuu Matola,Ila kwani ni lazima kuwe na eye witness?.Au hata circumstantial evidence(Ushahidi wa kimazingira) unatosha kutoa hukumu stahiki?.Rejea kesi ya Oscar Pistorius.
Oscar Prestorius ni murder case, tena bunduki imetumika.

Kanumba hakushambuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…