Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivyo kanisa linatoa pete na makaburi yanatoa pete ! Nini kazi ya pete zinazotolewa kanisani ? Kwa nini Kardinali avae pete ?Kwani kanisa ni makaburini? Wewe mtu vipi? Hapa kinachoongelewa ni pete wanazopewa hawa "viongozi" wetu baada ya kulala makaburini au kufanya mambo mengine ya kishirikina. Mtu anasifiwa kulindwa na majini na unalilinganisha hilo na pete ya harusi!
hivi hawa wanaompelekea 10% huyu msanii mwingira wanafikiri kwa kutumia kiungo gani? Naamini kila jumapili mwingira huwa anacheka all the way to the bank kuangalia makusanyo toka kwa wajinga!
Naona Mgalatia Teller imekuuma ! Sie Mwingira tunamuona Mbwinga wa Mbwiguke tuu ! Manabii ndo hao, na Yesu A.S yumo !usisahau na mohamad naye mambo yake alipewa pangoni,majini walimchezea wakampa huo utume wake
Hivi Mtume qualification yake mojawapo ni KUSHUSHIWA KITABU?
Mfuasi wa Mwingira tusaidie Ukweli tujue ni kwanini anadharau Mahakama,kule Bagamoyo na Dsmduh, inatupasa kuwa makini sana na Haya magazeti. Maana wanaandika habari wauze...
bahati nzuri jana nilikuwepo ibadani Efatha Mwenge...alisema anaheshimu serikali na anamuogopa Mungu peke yake. Haogopi kitu kingine chochote (sio serikali, mahakama,polisi wala mtu). na wala hakusema yuko tayari kufa kwani hakuna anayeweza kufanya hivyo isipokuwa yeye aliye juu(MUNGU)... na ndivyo ilivyo...
Je hizi sifa zipo kwa Mwingra?Mtume qualifications:
1)according to Shia belief,he must be the most perfect person in his time in all the virtues like knowledge,bravery,generosity, morals and manners,love and fear of God,piety and worship of God, and other good qualities which are admired and desired in a good man.He must be the supreme most in all such virtues in his time.
2)he must be free from such stigma which causes disgrace and disrepute.Thus Mtume cannot be an illegitimate child,he should not choose such profession or work which is looked down upon in his society.He should not suffer from such an ailment which causes repulsion in the people,like leprosy.
3)The third and the most important of all is that Mtume should be 'maasum'ie.,free from every sin,mistake and evil.
4)Mtume must show clear signs and miracles to prove his claim.
Hata Mwingira anapete ya Ndoa lakini haimuzui kufanya unzinzi.Hizo nazo ni pete za kichawi kwani utakuta mtu amevaa pete lakini bado anafumaniwa!Mmh makubwa. Mwingira anamaanisha ile pete ya mkuu wa kaya amekabidhiwa gizani pale mlingotini? Na hizi za maaskofu wanazovaa mbali na zile za ndoa zinatoka wapi? Kuna andiko la kuziunga mkono? Natamani kama mwingira angepita hapa akatufafanulia hili.
.
Inawezekana Mwingira kweli akawa mtume wa mitume na nabii wa manabii maana yeye amekaa juu ya neno na Roho mtakatifu. Ninasema hivi kwa sababu biblia inaeleza wazi kwa habari ya maisha ya mkristo hasa kwenye kipengele cha Ndoa. Mkristo hapaswi kumuacha mkewe na kuishi maisha ya kuzini. Maana imenenwa kuwa kitakachowatenganisha wanandoa ni kifo peke yake. Sasa kwa mwingira kilichomtenganisha yeye na mke wake wa ndoa sii kifo ila tamaa ya kumjaribu mwingine aliyejazia. Alimkimbia mke wake wa ndoa kwa gharama ya kuruka ukuta wa chuo cha uinjilisti Mwika alikokua anasomea na hakumaliza chuo. Sasa hivi anaishi na kimada anaejaribu kumpa hadhi ya mke nje ya biblia. Kama biblia inasema mtu mme ama mke akimwacha mke/mme wake na kuoa mwingine ni uzinzi. Hivyo hatupaswi kuichakachua biblia kwa vyovyote ili tumridhishe yeyote. Kama Mwingira ni jasiri kwa jinsi anavyodai tunamwomba ajitokeze hadharani na kukanusha kuwa mke aliye nae sasa hivi sii kimada baada ya kumkimbia mke halali wa ndoa. Na aeleze ujasirii huu wa kuisukumizia biblia chini anaupata wapi maana kwa tendo lake hilo linamuondolea uhalali wa kuwa kiongozi wa kidini(mchungaji) kulingana na waraka wa Paulo kwa Timotheo kwamba askofu(mchungaji) ni sharti awe mume wa mke mmoja. Mimi nashauri mtume wa mitume Mwingira ajitokeze kuomba radhi ukristo na kanisa kwa ujumla na kisha amrejeshe mkewe nyumbani badala ya kujitokeza na kauli tata dhidi ya wengine.
.
Source :Uhuru&ibada MwengeWakuu,nimenunua gazeti la Uhuru la leo(Jumatatu Januari 16,2012) ambalo anayejiita Mwamakula anataja kua ndo "source" ya hbr yake.HABARI HII IMEPOTOSHWA.
Maneno yafuatayo hayomo kwenye "source" yake-Gazeti la uhuru la leo
1)"kwann wasije kunikamata hapa kanisani"
2)"viongozi wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi....."
Kwa kunukuu maneno yasiyokuwepo kwenye "source" aliyoitumia ninaamini kabisa Mwamakula ana lengo lake.Na kwa mwenye akili anamuelewa vizuri sana.
Jee wakuu ni nukuu ngapi tunazotolewa humu,ambazo hazipo kwenye asili ya source hizo.Yote haya yana malengo yake.Tafakari.
Kanisa Katoliki yapo makaburi ndani ya Kanisa. Wakati wa misa za wafu...Kwani kanisa ni makaburini? Wewe mtu vipi? Hapa kinachoongelewa ni pete wanazopewa hawa "viongozi" wetu baada ya kulala makaburini au kufanya mambo mengine ya kishirikina. Mtu anasifiwa kulindwa na majini na unalilinganisha hilo na pete ya harusi!
hivyo kanisa linatoa pete na makaburi yanatoa pete ! Nini kazi ya pete zinazotolewa kanisani ? Kwa nini Kardinali avae pete ?
Huwezi kuwa mtawa bila pete ya kichawiAliekwambia pete za harusi, pete za watawa na fimbo ya mwalimu vinatolewa makaburini (au kwa wachawi) ni nani?