Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Demokrasia ni neno tu ulilotewa na wazungu ambao hao hao ndo walikuja kututawala na kuiba rasimali na kuua babu zetu.Eti leo unana demokrasai bora kuliko maisha ya watu yaani kwako bora kupoteza wapeñdwa wako for seek of democracy?Hili ndo tatizo la kuiga kila jambo la mzungu mbona nchi nyingi hazina democracy na zimepiga hatua na wanaishi vzuri.Jamani naomba Wafrika tuamkeKama mwanajumuia ya afrika mashariki, nathubutu kusema kwamba kenya iko next level when it comes to democracy, japo hali ya usalama inatia huzuni sana. Lakini lazima tutambue kwamba demokrasia ina gharama zake nahizo ndo gharama za demokrasia.
Huku tanzagiza tumejificha tu kwenye kichaka kinaitwa demokrasia