Mahakama kuu kenya: maandamano ya upinzani ruksa

Demokrasia ni neno tu ulilotewa na wazungu ambao hao hao ndo walikuja kututawala na kuiba rasimali na kuua babu zetu.Eti leo unana demokrasai bora kuliko maisha ya watu yaani kwako bora kupoteza wapeñdwa wako for seek of democracy?Hili ndo tatizo la kuiga kila jambo la mzungu mbona nchi nyingi hazina democracy na zimepiga hatua na wanaishi vzuri.Jamani naomba Wafrika tuamkeHaya ni baadhi ya matukio ya demokrasia.Kenya mwaka 2008
 
Tatzo menu ninyi wanakijiji wa PINGAPINGA mnadhani vurugu ndio demokrasia, too sad[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
When justice is violated, violence is inevitable
 
Well said, rejea post yangu hapo juu, nasikitishwa na kinachoendelea Kenya,.... Nahayo ndo matunda ya demokrasia.
Ikiwa hatuiwezi western democracy, kwanini tuliiadopt?
 
Polisiccm na FFU hapa kwetu wangemwaga kila kona ili kuminya uhuru wa Watanzania kuonyesha kutoridhika kwao na huu utawala dhalimu na wa kidikteta ambao unajua fika haupendwi bali kutegemea mtutu wa bunduki kung’ang’ania madarakani.
Mkuu me ni muumini wa filosofia kwamba, 'still water runs deep'.
KapigwaKapigwa lissu watu wazibwe mdomo, lakini naona nikama wamechochea movement
 
Reactions: BAK
Naam Mkuu lakini bado hawataki kuelewa hili shambulizi la Lissu lilivyogusa nyoyo za Watanzania wengi na kuwaudhi. Vitisho vya huyo uchwara bado vinaendelea na kamata kamata ya wapinzani pia.

Mkuu me ni muumini wa filosofia kwamba, 'still water runs deep'.
KapigwaKapigwa lissu watu wazibwe mdomo, lakini naona nikama wamechochea movement
 
What so special hapa??Tatzo lenu akili zenu zimeshikiriwa na KINA MBOWE na wao wana wasaidia kufikiri......
Wewe Kinacho ongelewa hapo ni demekrasia ya kenya sasa mbowe anatokabwapi
Heee yani hadi huruma
 
Naam Mkuu lakini bado hawataki kuelewa hili shambulizi la Lissu lilivyogusa nyoyo za Watanzania wengi na kuwaudhi. Vitisho vya huyo uchwara bado vinaendelea na kamata kamata ya wapinzani pia.
Serikali ya visasi na kuamini mtu mmoja tu ndo hakosei, sio demokrasia. Lakini ashawahi kusema alisukumizwa tu.
Teh teh
 
Reactions: BAK
It is not too late to quit in order to save our beloved country from a huge disaster.

Sure, you must expect one of the two:
1. Be true to the leaders and u qualify for the title of mzalendo
2. Be true to your country and be ready for name calling
 
Reactions: BAK
Well said, rejea post yangu hapo juu, nasikitishwa na kinachoendelea Kenya,.... Nahayo ndo matunda ya demokrasia.
Ikiwa hatuiwezi western democracy, kwanini tuliiadopt?
Uli adopt wewe au walitutangulia hatuwezi kulazimisha mfumo wa demokrasia kama tunauwana
 
Katika afrika mashariki Kenya pekee yake mahakama ndiyo iko huru,haingiliwi na serikali

Ova
Ingekuwa haiingiliwi basi jana ingekaa ikafanya maamuzi ya kukubali au kukataa kwenye kesi iliyofunguliwa.
Mimi nimewahi kuishi kenya na siasa zao hazijabadilika ni zilezile hivyo hata ukiwa kwenye wadhfa gani inabidi uzingatie mgawanyiko huo. Kama ulimsikiliza yule mama aliyejiuzulu kwenye IEBC ungeelea ninasema nini.
 
Kwa africa Kenya inaweza kuwa mfano wa kuigwa
Katika Afrika ya mashariki hakuna nchi inayoongoza kwa mauaji ya kisiasa kama kenya-tuige hilo??
Hakuna nchi yenye ukabila kama kenya-tuige hilo? Ni kama kuna kanuni isiyoandikwa kuwa Mluo hawezi kuruhusiwa kuwa rais na ndiyo maana wanasiasa wakiluo wengi ambao walikuwa wanapendwa sana na wananchi ilibidi waangamizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…