Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Ingewezekana kumwadhibu Magufuli huko aliko ningefanya hivyo bila kusita.
 
Nmekuelewa sana mkuu!

Nmekuona unasifia sana utawala huu wa mama chini ya ccm ndio maana nikasema sasa ccm imeji update kwa hiyo mi 10 tena kwao maana wanafanya kazi nzuri.
CCM imejaa Mashetani ila pia kuna Malaika wachache Mama ni mmojawapo atupe Tume HURU halafu aendelee kutawala
 
Arudishe na mabillion ya Mr.Kuku ambayo DPP alimtapeli!
 
Mkuu sasa si unaona haki invsavyotendeka?

Ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mother!
Magufuli alivuka vipimo vyote vya binadamu katili. Historia itamkumbuka kama raisi wa hovyo na mshenzi kabisa aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi hiyo nchini
 
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
Mradi asidhulumiwe mtu.......
 
Kwani walizitoa mifukoni mwao?
Wao ndio wanatambulika walilipa Faini,
Mahakama, haiwatambui wachangiaji.

Pesa itarudishwa kwenye accounts zao.

Unafikiri mwana CCM DC Mashinji atairudisha Chadema, ili itumike kujenga Ofisi.??
Zaidi atakachofanya nikuirudisha kwa Jamii.
 
Wailipe na familia ya yule binti aliyeuawa na risasi kama hawakuwa wamefanya hivyo...
Anayetakiwa kuwalipa ni serikali ya Magufuli iliyemuua kupitia askari wake wa Police
 
Sooon kuna watu wataumia.wanavutwaaa wakijaa wanapigwa counter attack..serikari ni ile ile
Acha hio zana ukiona mabadiliko mazur omba mungu yawe ivo ivo na sio kuendelea kua negative
 
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
Yaani kwa jinsi ulivyounganishia na suala la Acacia inaonesha wazi kwamba umeumia kuona hii hukumu!
 
Kama zile za Jemadari wetu Mchungaji Msigwa alizochangiwa na Ibilisi zirejeshwe Hazina au zipelekwe kusaidia Kaya Masikini zilizobomolewa Nyumba zao na kudhulumiwa Mashamba yao katika ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Legacy ya Magufuli Pombe John.
 
Wakati Sheitwaani JPM,anatuaminisha kwamba nchi ina pesa,kumbe yupo anapola Raia wake chini kwa chini!
 
Tuliza kijambio hicho wewe dada,tukapime ukimwi kama uko safe mimi nakuchukua naona unahangaika sana na buku Saba za Lumumba,nitakupa maisha dada yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…