Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

HEKO MAHAKAMA YA TANZANIA KWA KUTENDA HAKI.
Damu ya akwillina imevuja.
Damu ya akwillina inaliaa na mtu fulani.
Kwa hiyo mahakama itueleze nani alihusika na mauaji ya AKWILLINA.
 
TZS 350 m/=! A hell of money! Mungu ni mwema kila wakati.
 
tena waislamu wa Zanzibar. Yaonekana Mama amegoma kabisa kushiriki dhurma. Zanzibar oyeee... !
Zanzibar wanahofu ya Mungu na wanajua wakifanya dhulma ni adhabu mbele ya Mungu njia ya kubwa ni kutoifanya kama unajua.

Walaaniwe ccm waliokuwa wanafurahia haya.
 
Wewe ndio huna akili kabisa! Kwani acacia wakishinda wakalipwa chao kunatatizo gani?? Kila aliyedhulumiwa apewe chake halali bila kujali ni ACACIA wala nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna dhuluma ni dhama za kila mtu mwenye uwezo achukue anachoweza kuongoza,nchi sio kama familia hasa katika nchi yenye makabila 120 majaji wakiwemo ,ndio maana kesi zote tanzania ulizokuwa tunashtakiwa kimataifa kabla jpm tulishindwa lakini baada ya yeye kuja huo ujinga ulikoma na sasa umerudi kwa kasi.
 
Amen mkuu
 
Kama taifa tukitaka kusonga mbele na kutendeana haki, ni kuacha huu unafiki
 
Hizi mahakama inabidi zitandikwe mboko mchana kweupe. Mbowe hajakata rufaa ya ule mguu kukanyagwa usiku wa manane?
 
Hutaki hama nchi yetu urudi kwenu Rwanda, intetahamwe nyinyi
 
Duu siamini Mungu ashukuriwe. Ipo haja sasa ya kupeleka kesi ya kuomba katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Zipelekwe sheria zote zinazokinzana na katiba. Tusisubiri Bunge hili ni lile lile la Praise team.
 
Hata mimi nimeliwaza hilo, Watu wanajificha kwenye kudai haki lakini kuna ujanja ujanja mwingi sana. Maana hata wapigaji wapo wanapiga kutumia mgongo wa mahakama.

Wabongo wanataka haki bila kuwajibika mwisho wa siku kila mtu anachota pesa serkalini akijidai hakutendewa haki.Hata mfumo wa mahakama usifikirie wao ni malaika inawezekana tamko la mama la haki likatumika vibaya na huo mhimili na ikawa ni chanzo cha watu waovu kuvuna pesa za serkali,ndio maana miaka ya nyuma serkali ilikuwa haiwezi kushinda kesi kiurahisi .
 
Mpuuzi wewe,tulikuwa na mahakama kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ?
 
Mungu amsamehe Mwendazake dhambi zake huko aliko...hakuwa yeye ni makosa ya kibinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…