Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Uonevu mwamba katafuta pesa, ofisini kwake kuna sehemu pesa ziliibiwa?Kama nj halali,mahakani anafanya nini?
Anafanya nini Mahakamani kama hazikuibiwa?Uonevu mwamba katafuta pesa, ofisini kwake kuna sehemu pesa ziliibiwa?
UWT hamnaga akili, kuna auditing inaonyesha jamaa aliiba ofisini kwake?Anafanya nini Mahakamani kama hazikuibiwa?
Mahakamani anashitakiwa Kwa nini?UWT hamnaga akili, kuna auditing inaonyesha jamaa aliiba ofisini kwake?
We UWT umelewa anachoshitakiwa nacho? mali isiyolingana na kipato chake na siyo wizi? shame on you, mali zinazolingana na kipato chake ni zipi?Mahakamani anashitakiwa Kwa nini?
4R is real sir!!! Tunaendelea kuachia Maharamia Ili kuliponya TaifaKigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
View: https://www.instagram.com/p/C8yZh-7NTVX/?igsh=cmdjbXMyeWVidTRz
My Take
Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja.
Una maanisha nini?4R is real sir!!! Tunaendelea kuachia Maharamia Ili kuliponya Taifa
Mali isyolingana na kipato chako na Haina maelezo sio kosa? Period inakuchanganya weweWe UWT umelewa anachoshitakiwa nacho? mali isiyolingana na kipato chake na siyo wizi? shame on you, mali zinazolingana na kipato chake ni zipi?
Ma sonko wa townAjali kazini mjomba.
View attachment 3028935
Ni mali ipi ambayo inalingana na kipato chake?Mali isyolingana na kipato chako na Haina maelezo sio kosa? Period inakuchanganya wewe
Wewe ChoiceVariable, kula kwa urefu wa kamba maana yake hasa ni nini? Hebu fafanua urefu wa kamba unapimwaje? Je huo urefu unategemea umbile, uwezo, akili, ujanja, wadhifa au fursa?Ukizidisha kamba hayo ndio matokeo.Kila mbuzi hula Kwa urefu wa kamba yake, Kiongozi Yuko Sahihi au wewe unaona kuna shida?
Hongera zake kwa ubilionea alionao.Ajali kazini mjomba.
View attachment 3028935
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
SOMA HUKUMU YOTE : Source : Director of Public Prosecutions vs Geofrey John Gugai & 2 Others (Criminal Appeal No. 101 of 2022) [2024] TZHC 6041 (28 June 2024)
Director of Public Prosecutions vs Geofrey John Gugai & 2 Others (Criminal Appeal No. 101 of 2022) [2024] TZHC 6041 (28 June 2024)
Judgment2024-06-28High Court of Tanzania
Page 1: of 2017) DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS........................APPELLANT VERSUS GEOFREY ... JOHN GUGAI........................................1ST RESPONDENT GEORGE MAKARAMBA
Page 2: Appellant preferred only one count and it was against the 1st Respondent, GODFREY JOHN GUGAI ....