Mahakama Kuu Tanzania yaamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa inamkabili Mhasibu wa zamani wa TAKUKURU

Mahakama Kuu Tanzania yaamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa inamkabili Mhasibu wa zamani wa TAKUKURU

We UWT umelewa anachoshitakiwa nacho? mali isiyolingana na kipato chake na siyo wizi? shame on you, mali zinazolingana na kipato chake ni zipi?
Mali isyolingana na kipato chako na Haina maelezo sio kosa? Period inakuchanganya wewe
 
Ukizidisha kamba hayo ndio matokeo.Kila mbuzi hula Kwa urefu wa kamba yake, Kiongozi Yuko Sahihi au wewe unaona kuna shida?
Wewe ChoiceVariable, kula kwa urefu wa kamba maana yake hasa ni nini? Hebu fafanua urefu wa kamba unapimwaje? Je huo urefu unategemea umbile, uwezo, akili, ujanja, wadhifa au fursa?
 
Since 2017 mshkaji yuko ndichi aisee. Hela tunazipenda ila sometimes hizi risks hizi. Hapo aje kuchomoka ukute na mali zake zimeshatawanywa na zingine kupotea.​
 
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.

SOMA HUKUMU YOTE : Source : Director of Public Prosecutions vs Geofrey John Gugai & 2 Others (Criminal Appeal No. 101 of 2022) [2024] TZHC 6041 (28 June 2024)
 
Back
Top Bottom