Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha zoezi la kuchukua taarifa za fingerprints za watu

Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha zoezi la kuchukua taarifa za fingerprints za watu

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
IMG-20200131-WA0047.jpg


My Take:
Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu.
Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili
 
Hapo kwenye keyboard tu ya simu yako fingerprint inaweza chukuliwa kama serikali wanataka kuzitumia vibaya hizo fingerprint zako. Hiyo mahakama inawaza kimwaka 47.
Wacha uongo.
 
Back
Top Bottom