My Take:
Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu.
Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili

Hapo kwenye keyboard tu ya simu yako fingerprint inaweza chukuliwa kama serikali wanataka kuzitumia vibaya hizo fingerprint zako. Hiyo mahakama inawaza kimwaka 47.