Mahakama Kuu ya Zanzibar ina umri gani?

Mahakama Kuu ya Zanzibar ina umri gani?

Kisanduku

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
284
Reaction score
483
Wiki jana ilikuwa ni sherehe za miaka 100 ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ukiangalia kiusahihi utaona kwamba hii ni miaka 100 ya Mahakama ya Tanzania Bara.

Hii ni kwa sababu Zanzibar wana mahakama yao tofauti kabisa na hii iliyotimiza miaka 100.

Nasikia Mahakama ya Zanzibar ilianza mwaka 1979 chini ya Rais Aboud Jumbe.

Hivyo Mahakama ya Zanzibar haijatimiza miaka 43.

Jadiliy.
 
..Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964, hivyo basi haiwezekani mahakama yake ikawa na umri wa miaka 100.

..Hata tukisema ni mahakama ya Tanganyika ua Tanzania bara, hatutakuwa sahihi kwasababu tulipata uhuru mwaka 1961.
 
Kwani unataka kusemaje ndugu mjumbe?

Jambo la msingi unalotakiwa kuzingatia ni kwamba, ile ni mahakama na ipo kisheria, hata kama ingekua na mwaka mmoja.

Hii kasumba ndio imeathiri watu kuidharau Zanzibar kisa, ukubwa wake kiasi cha kuilinganisha na mkoa. Ile ilikua nchi kamili yenye mamlaka yake kabla ya muungano, ukubwa au udogo wake hauiondolei uhalali wake kuwa Nchi.
 
..Na kwa mahesabu ya mtoa mada mahakama ya znz inaweza kuwa na umri mkubwa kuliko mahakama ya tanganyika.

..kwanza, inawezekana znz kulikuwa na mahakama wakati wa utawala za sultani, muingereza, na serikali iliyopinduliwa.

..pili, ni kweli serikali ya mapinduzi ilifuta mahakama zilizokuwepo awali, lakini serikali hiyo ilikuwa na mahakama zake za kihuni-huni na watu walikuwa wanahukumiwa.

..tatu, mahakama iliyopo znz sasa hivi huenda ilianzishwa wakati wa utawala wa Rais Aboud Jumbe au kabla ya hapo.
 
Ahsante mkuu, tuna upungufu au uhaba mkubwa sana wa namna ya kufikiri au kuchambua jambo. Tunaangalia mambo kwa juu juu na wepesi sana.

Hii imeathiri jamii kwa kiasi kikubwa sana, kuanzia viongozi hadi wananchi wa kawaida.

Umeweka vitu vya msingi sana ambavyo mleta mada kama angejiuliza hiyo miaka 100 anayoisema imepatikana kwa kuzingatia vigezo gani, kisha ajaribu kulinganisha na mahakama ya ZnZ.

Utafiti mdogo kama huo ungemsaidia kujifunza zaidi na kupata majibu ya maswali yake.

Shukrani
 
..Karume na wenzake ktk baraza la mapinduzi walikuwa wanatoa hukumu.

..Kuna Waznz kama Khasim Hanga, Mdungi Ussi, ...walikamatwa na serikali na hawajaonekana mpaka leo.

..Sasa unajiuliza watu hao waliuawa? Je, walihukumiwa? Walihukumiwa na nani, na ktk mahakama gani?
 
Na hapo ndio niliposema, tunahitaji kujitafakari uwezo wetu wa namna ya kufikiri.
 
Maswalu ya historia huwezi kutupa mzigo kwa mleta mada kana kwamba wewe historia haikuhusu.

Back
Top Bottom