Mahakama Kuu yapinga mgawanyo wa nusu kwa nusu wa mali kwa Wanandoa waliopeana talaka

Mahakama Kuu yapinga mgawanyo wa nusu kwa nusu wa mali kwa Wanandoa waliopeana talaka

hata mm naunga mkono...mchumaji mali huwa ni mwanaume, ila wanawake wanadhani papuchi ndo gia ya kila kitu
 
It’s fair...I think it might help some marriages...Once a lady or a gent becomes accustomed to a certain lifestyle they may want to maintain it...The divorce rate might actually drop...The partner who has a lot to loose will work harder to maintain the union...So for the ones who married for status things are thick...
 
Hata kama anakuwa passive lkn pasu kwa pasu sio haki, ni dhuluma iliyo wazi. Kinachotakiwa ni kukokotoa asilimia anayoweza pata kwa nafasi yake kama mke; na mume pia hivyo hivyo anatakiwa kupata asilimia fulani ikiwa mke ndo alikuwa mtafutaji.
Ndio, nimesema Pasu kwa pasu haifai
 
Nimekuja speed nilidhani ni huku kwetu kumbe jirani bhana
 
Hiyo sheria wailete na huku Tanzania maana siku hizi wanalazimisha kuolewa kisa tu uko njema kimaisha na wakishaingia tu wanaanza visa na kudumisha michepuko ukimkoromea tu anaanza timbwili.
 
Back
Top Bottom