It’s fair...I think it might help some marriages...Once a lady or a gent becomes accustomed to a certain lifestyle they may want to maintain it...The divorce rate might actually drop...The partner who has a lot to loose will work harder to maintain the union...So for the ones who married for status things are thick...
Hata kama anakuwa passive lkn pasu kwa pasu sio haki, ni dhuluma iliyo wazi. Kinachotakiwa ni kukokotoa asilimia anayoweza pata kwa nafasi yake kama mke; na mume pia hivyo hivyo anatakiwa kupata asilimia fulani ikiwa mke ndo alikuwa mtafutaji.
Hiyo sheria wailete na huku Tanzania maana siku hizi wanalazimisha kuolewa kisa tu uko njema kimaisha na wakishaingia tu wanaanza visa na kudumisha michepuko ukimkoromea tu anaanza timbwili.