Mahakama Kuu yasimamisha usikilizwaji wa kesi ya Lissu, baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio

Mahakama Kuu yasimamisha usikilizwaji wa kesi ya Lissu, baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mahakama Kuu imesimamisha usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa mahakama hiyo kutupilia mbali notisi yake ya kuwasilisha ushahidi mpya katika kesi hiyo.

Soma Pia: Tundu Lissu: Nakwenda kuwashughulikia huko huko Mahakama ya Rufaa

Uamuzi huo umetokana na pingamizi lililowasilishwa na Lissu kuhusu taarifa ya kuongeza ushahidi wa upande wa mashtaka iliyowasilishwa na Jamhuri.
 
Watazunguka sana ushahidi wa kudownload ili wamfunge kwa kiini macho mwisho wa siku watangukia ICC
 
Back
Top Bottom