Mahakama Kuu imesimamisha usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa mahakama hiyo kutupilia mbali notisi yake ya kuwasilisha ushahidi mpya katika kesi hiyo.