JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio ya kisheria kuhusu uamuzi wa KAA wa kukodisha JKIA kwa Adani kwa miaka 30.
Mahakama pia imetoa amri za kuhifadhi ambazo zinakataza mtu yeyote kutekeleza au kufanya chochote kuhusu mapendekezo ya Adani kuhusu JKIA mpaka kesi hiyo itakapomalizika.
Pia soma: Mchakato wa Adani kukabidhiwa JKIA waendelea licha ya migomo