Majaji wameipa serikali miezi 18! Inamaana serikali hii katili haitakiondoa leo!Acha tu Mkuu kikirekebishwa muda huu maana target ya kumuweka ndani mdude itafeli.
Hawawezi kuondoa mpaka tena wanaharakati waliofungua wawakumbushe baada ya hiyo miezi 18.Majaji wameipa serikali miezi 18! Inamaana serikali hii katili haitakiondoa leo!
Tayari Serikali nao wamekata rufaa kupinga maamuzi haya ya majaji kutoka mahakama kuu.Majaji wameipa serikali miezi 18! Inamaana serikali hii katili haitakiondoa leo!
Criminal procedure act.. ndio maana yake. haukuna ajabu, Kenya mauaji yana dhamana!CPA ndio nini? andika polepole tukuelewe. Ina maana hata wauaji kukosa dhamana ni ubatili?
Ndiyo maana yake!CPA ndio nini? andika polepole tukuelewe. Ina maana hata wauaji kukosa dhamana ni ubatili?
criminal procedure act.. ndio maana yake. haukuna ajabu, kenya mauaji yana dhamana!
Mkuuu nadhani taarifa yako ina mapungufu mengi sana, Hautuambii Ni Mahakama kuu kanda ipi iliyotoa hayo maamuzi, Mbele ya Jaji Gani, Hayo maamuzi yametolewa lini, na haujatuewekea nakala ya hukumu husika...... My learned bro jaribu kupunguza political inclination.Kifungu cha 148(5) cha CPA kinacho wanyima watuhumiwa wa makosa yaliyoainishwa na kifugu hicho ni batili na kifutwe kwa kuwa kinakiuka Katiba ya JMT na serikali.
CHA AJABU: Mahakama imetoa muda wa miezi 18 kurekebisha /kufuta kifungu hicho.
MAAJABU: Kitu batili unakiruhusu kiendelee kuwatesa watu kwa miezi 18. Mahakama huwa haikubali UBATILI kusimama katika vitabu vya hukumu zake!!
Mambo ya sheria kuna political inclination? How? Mambo mengine fanya homework kidogo, just google utapata kila kitu. We do not have enough time to keep here typing! fuata link hiyo! na tafuta xzaidi. This news has trended widely on social media and for you information the AG has already filed a notice of appeal! (mimi siyo learned brother anyway! nimesoma sheria just for interest na kupata LLB, basi sikwenda zaidi ya hapo).My learned bro jaribu kupunguza political inclination.
Punguza stress msomiMambo ya sheria kuna political inclination? How? Mambo mengine fanya homework kidogo, just google utapata kila kitu. We do not have enough time to keep here typing! fuata link hiyo! na tafuta xzaidi. This news has trended widely on social media and for you information the AG has already filed a notice of appeal! (mimi siyo learned brother anyway! nimesoma sheria just for interest na kupata LLB, basi sikwenda zaidi ya hapo).
THE HIGH COURT OF TANZANIA HAS DECLARED THE WHOLE SECTION 148(5) OF THE CPA UNCONSTITUTIONAL - Mlatho Radio
Nilidhani naongea na mtu mwelewa, kumbe .....siku hizi nachagua wapi nijubu, the rest na bblock!Punguza stress msomi
Ila thanks sana kwa Dick Sanga, Mwanangu na roomate wangu wa Kibaha Boys.Nilidhani naongea na mtu mwelewa, kumbe .....siku hizi nachagua wapi nijubu, the rest na bblock!
Wablock unaoishi nao huko Tanzania, halafu eti unanibabaisha kuniblock, punguza kichaa cha kisiasa MsomiNilidhani naongea na mtu mwelewa, kumbe .....siku hizi nachagua wapi nijubu, the rest na bblock!