Sizungumzi TFF tu, mahali popote pale kupaongoza lazima elimu iwepo kichwani. Vipaji viishie uwanjani. TFF itaongozwaje na Ninja kwa mfano?Utakua ni mmoja wa CHAWA wa huyo Msomali bila shaka, na pia upo kwenye payrol yake! Hivyo ni haki yako kusema hivi.
Kumbe wewe sio MBAGUZI tu bali MKABILA pia. Haya ndiyo Mwl. Nyerere alikuwa anapiga vita sana wewe ndio leo unayaendeleza. Hata hivyo kawashinda kwa hoja ndio maana unatapatapa kutafuta udhaifu wake upate pa kutokea!! Kama kakosea mahali mahakama zipo. Mpelekeni huko mkapate haki yenu.Watanzania tunatambulika pia kwa makabila yetu! Na hilo liko wazi tu. Sasa uniambiee basi huyo Karia ni Kabila gani?
Na huo ubaguzi nimeuanza mimi, au ameuanza yeye mwenyewe kwa kujitengenezea mazingira ya kujimilikisha Shirikisho, huku akiwabagua Watanzania Wazawa na wenye sifa za kuwa viongozi wa TFF?
Mmmh ninachofahamu Mimi mchakato wa uchaguzi ndio ambao unaendelea lakini kesi ya msingi bado ipo...masuala ya sheria magumu eeeehhh😄😄Hizo hoja zilikuwa dhaifu mno, Ally Saleh alikuwa anapoteza muda bure
Alichofanya Karia ni kuwapelekea mahakama Katiba ya TFF tu.
Yaani Karia anaupiga mwingi sana, wapinzani wa Karia wamepigwa nje ndani.
Ndo upumbavu tulionao Wa TZ, yaani tulio wengi sehemu zetu za kazi kuna madudu sana, lakini tunayafunika kisa ushabiki au mapenzi.Kama unafurahia uhuni wa karia, then hauna haki ya kukasirika pindi 'chama' chochote kikijizolea viti vyote vya ubunge!