Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

Mkuu umesahu kuwa Tanzania na CCM ni ile ile? Hilo jambo ni connection ya Mihimili yote mitatu (Serikali,Bunge na Mahakama)
 

Umechanganya sana mambo kwenye hii post yako. Kwa kifupi, Bunge lipo kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Hakuna mamlaka hapa nchini ambayo iko juu ya sheria.

Ilichofanya Mahakama Kuu ni kuzuia utekelezaji wa uamuzi wa vikao vya maamuzi vya CHADEMA (kusubiri disposition ya case ya msingi iliyoko mahakamani). Watekelezaji wa huo uamuzi ni pamoja na Speaker. Judge anayo mamlaka ya kufanya alichofanya.

Usitumie jazba kuzungumzia swala la kisheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…