Hakika hili Ni somo kubwa
Yaah palikuwa kimya mara ghafla bin vuu uwanda wa Don vikasikika vigeregere na vifijo kumbe mwamba umeingiaAligeuka kuwa shemeji wa Don Michael Corleone...hahahaha
Guana,Yaah palikuwa kimya mara ghafla bin vuu uwanda wa Don vikasikika vigeregere na vifijo kumbe mwamba umeingia
Una interest na kusoma vitimbwi vya Mafia? Soma kitabu kinachoitwa ''I Heard You Paint Houses'' kilichoandikwa na Charles Brandt hutajuta. Kinaelezea moja ya nadharia kadhaa jinsi Jimmy Hoffa alivyouawa. Jimmy Hoffa alikuwa ni kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi huko Marekani na alitoweka na mpaka sasa haijulikani ni nini kilimpata. Pia alikuwa kwenye genge la Mafia .Sasa hiki kitabu kinalezea jinsi alivyouawa na maelezo yanatoka kutoka kwa Mafia mwenzake alipohojiwa na Charles wakati anakaribia kufariki. Kweli Mafia ni ushirika wa hatari.Sasa hivi nasoma kitabu cha GodFather revenge cha Mario Puzo na sasa Mkuu wa Mafia wa New York ni mtoto wa Don Veto Corleon, Don Michael Corleone
Macho...Una interest na kusoma vitimbwi vya Mafia? Soma kitabu kinachoitwa ''I Heard You Paint Houses'' kilichoandikwa na Charles Brandt hutajuta. Kinaelezea moja ya nadharia kadhaa jinsi Jimmy Hoffa alivyouawa. Jimmy Hoffa alikuwa ni kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi huko Marekani na alitoweka na mpaka sasa haijulikani ni nini kilimpata. Pia alikuwa kwenye genge la Mafia .Sasa hiki kitabu kinalezea jinsi alivyouawa na maelezo yanatoka kutoka kwa Mafia mwenzake alipohojiwa na Charles wakati anakaribia kufariki. Kweli Mafia ni ushirika wa hatari.