Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati.
Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana, tunampongeza sana Jaji Mkuu na watendaji wake kwa kufikiria mbali zaidi kutusogezea huduma sisi wananchi hasa tusiokuwa na uwezo kusafiri mara kwa mara kuhudhuria kesi zetu ambazo tulizifungua tukiwa mbali.
Hongereni sana Judiciary of Tanzania