Mahakama Nchini Misri yataka kunyongwa kwa muuaji wa Mwanafunzi wa kike kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni

Mahakama Nchini Misri yataka kunyongwa kwa muuaji wa Mwanafunzi wa kike kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake

Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumchoma visu hadi kufa Nayera Ashraf, ambaye alimkatalia ombi lake, nje ya maeneo ya Chuo alipokua akisoma

Kwa utaratibu, Misri haitangazi mauaji, ambayo mara zote hufanywa kwa wafungwa kunyongwa ndani ya magereza

===========

A court in Egypt has called for a legal amendment to allow live broadcast of the execution of the killer of a female student.

Egyptians were horrified after video footage went viral last month purportedly showing Mohammed Adel stabbing to death Nayera Ashraf, who rejected his advances, outside her university.

In a letter to parliament, the court that sentenced the 22-year-old to death said the broadcast of even a part of the proceedings could achieve the goal of deterrence.

Egypt does not broadcast executions, which are always carried out by hanging inside prisons.

A 2015 United Nations survey said nearly eight million Egyptian women were victims of violence.

Source: BBC
 
Hata huku ifanyike kama hiyo, wasagaji na mashoga inawafaa hiyo, nasubiri watetezi wa mashoga na wasagaji waje wanipinge
 
Back
Top Bottom