Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
NImependa hapo kwenye CC. Simu moja tuMara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi.
Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni suala la kisiasa.
Siku za hivi karibuni kuna ile kesi ya kina mdee dhidi ya CHADEMA, kesi inaburuta Miguu mwaka Wa tatu sasa.
Kinachoonekana Sasa ni kuwa mahakama ni kama inasubiri maelekezo toka tawi la Utawala iamue nini kwenye kesi hiyo ambayo hata mtu wa mtaani asiyejua kabisa Sheria angeweza kuwa tayari ameshafanya uamuzi.
CC:
Rostam Aziz.
Kwani imetokea nini?Jaji mkuu mwenyewe ni wa mchongo. Kila kitu hapa nchini ni cha.mchongo..
Wanavovaa yale majoho yao na zile kofia kama mafundi mchundo huwa wanatembea Kwa matao na mbwembwe nyingiii, lakini hukumu zao kushindwa kuonesha weledi huwa nawashangaa sana.Mahakama na bunge hakuna weledi..
Wanaenenda kwa maelekezo ya muhimili uliojichimbia chini zaidi
Hilo ni jibu...Pigia mstari ✔️Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi.
Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni suala la kisiasa.
Siku za hivi karibuni kuna ile kesi ya kina mdee dhidi ya CHADEMA, kesi inaburuta Miguu mwaka Wa tatu sasa.
Kinachoonekana Sasa ni kuwa mahakama ni kama inasubiri maelekezo toka tawi la Utawala iamue nini kwenye kesi hiyo ambayo hata mtu wa mtaani asiyejua kabisa Sheria angeweza kuwa tayari ameshafanya uamuzi.
CC:
Rostam Aziz.
Inatia huzuni sana!!Hilo ni jibu...Pigia mstari ✔️
Hii ni dharau ya hali ya kwa Mahakama za Nchi yetu.Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi.
Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni suala la kisiasa.
Siku za hivi karibuni kuna ile kesi ya kina mdee dhidi ya CHADEMA, kesi inaburuta Miguu mwaka Wa tatu sasa.
Kinachoonekana Sasa ni kuwa mahakama ni kama inasubiri maelekezo toka tawi la Utawala iamue nini kwenye kesi hiyo ambayo hata mtu wa mtaani asiyejua kabisa Sheria angeweza kuwa tayari ameshafanya uamuzi.
CC:
Rostam Aziz.
Kwa nini ni dharau??Hii ni dharau ya hali ya kwa Mahakama za Nchi yetu.