Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake
Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo awali iliwasilisha ombi la kuzuia mipango ya familia kumzika Lungu kwa faragha nchini Afrika Kusini, ambako alifariki dunia mwezi Juni
Wakati huo, mawakili wa serikali ya Zambia walieleza kuwa matakwa binafsi hayapaswi kupewa uzito zaidi kuliko maslahi mapana ya taifa
Mzozo huu umetokana na mgogoro wa muda mrefu kati ya Lungu na mrithi wake, Rais Hakainde Hichilema, ambapo familia ya Lungu imedai kuwa marehemu aliwahi kueleza kuwa Hichilema asihudhurie mazishi yake
Akisoma hukumu hiyo, Jaji Aubrey Ledwaba alisema kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya "kuurejesha mwili wa rais wa zamani" na akaagiza familia hiyo "kuukabidhi mara moja kwa mamlaka husika."
Soma pia:
=====
A South African court has ruled that Zambia's government can repatriate the body of former President Edgar Lungu and give him a state funeral, despite his family's opposition
The Pretoria high court ruled in favour of the Zambian state, which had previously applied to block the family's plans to bury him privately in South Africa, where he died in June
At the time, Zambian state lawyers argued that personal wishes should not override the greater public interest.
The dispute follows a long-standing feud between Lungu and his successor, President Hakainde Hichilema, with Lungu's family saying he had indicated that Hichilema should not attend his funeral
Handing down the ruling, judge Aubrey Ledwaba said the Zambian government was "entitled to repatriate the body of the late president" and ordered his family to "immediately surrender" it to authorities
Source: BBC

- TANZIA - Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu afariki dunia akipatiwa matibabu Afrika Kusini
- Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini
- Mazishi ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu kuleta utata baada ya serikali kusitisha maombolezo
- Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani