Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kutoa uamuzi wa dhamana Boniface Jacob, septemba 23, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.

Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na kumsomea mashtaka mawili.

Mbali na mashtaka hayo, awali waliomba Mahakama uzuie dhamana yake kwa muda. Hatua hiyo imeibua mabishano ya kisheria kati ya mawakili wa upande wa Serikali na wale wa Boni Yai.

Mchuano huo wa mawakili wa kila upande kutetea hoja zake umehitimishwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakaka ya Kisutu, Franco Kiswaga anayesikiliza kesi hiyo kusema atatoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024, saa 5:00 asubuhi. Boni Yai amepelekwa mahabusu.

Mashtaka yanayomkabili Boni Yai likiwemo la kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana.

Soma Pia:

Pia, Serikali ikawasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti yake ya X ili mpelelezi aweze kuviingilia na kuvifanyia uchunguzi.

Acha apumzishe

Acha apumzishwe hapo akiungwa na Sativa, mdude, na mm itakuwa poa nchi itatulia

USSR
 
hizo ni baadhi ya faida hasi za jeuri, kiburi na ukaidi 🐒
 
Kwa wajuzi wa "GESTURES" wataniunga mkono kuwa kamanda BONI MAYAI ameanza kupoteza "confidence"....

Licha ya kuonyesha alama ya vidole viwili lakini kupitia PUPILS za macho na IRISES ,kamanda huyu anaonekana kuzama katika tafakuri kubwa ,I bet kuhusu SIMU ZAKE....ndani ya simu zake......

Isije ikawa ndani ya hizo simu Kuna mipango ya SUBVERSION.....uchochezi....na maneno yapelekeayo UASI....nafikiri hili linamnyong'onyeza na kumtisha sana.

Siku ileile waliyopanga maandamano TAREHE 23 ndio siku hiyohiyo tutajua kama atapewa dhamana ama laa......

Mahakama zetu ziko hai na nimefurahishwa kwa hakimu kuamua yeye kusalia rumande kwa usalama wake......

Kongole mahakama zetu na mfumo wa utoaji haki 😍😍

#Sitaki kuwa miongoni mwa MAKHULUKU TABU nawapinga nawe uwapinge😍
#Nchi Kwanza😍
#Samia mpaka 2030 aamin aaamin 😍
 
Wewe unaonyesha hata ngazi za kuingilia kwenye darasa la kujifunza maswala hayo huna kabisa; lakini hilo halizuii kujiweka mbele na kuwa kioja kwa watu.
Umeandika pang'ang'a tu ndugu Kalamu...

Maswala yenyewe hujayataja....ficha upumbavu wako mbele za waungwana....
 
Kwa wajuzi wa "GESTURES" wataniunga mkono kuwa kamanda BONI MAYAI ameanza kupoteza "confidence"....

Licha ya kuonyesha alama ya vidole viwili lakini kupitia PUPILS za macho na IRISES ,kamanda huyu anaonekana kuzama katika tafakuri kubwa ,I bet kuhusu SIMU ZAKE....ndani ya simu zake......

Isije ikawa ndani ya hizo simu Kuna mipango ya SUBVERSION.....uchochezi....na maneno yapelekeayo UASI....nafikiri hili linamnyong'onyeza na kumtisha sana.

Siku ileile waliyopanga maandamano TAREHE 23 ndio siku hiyohiyo tutajua kama atapewa dhamana ama laa......

Mahakama zetu ziko hai na nimefurahishwa kwa hakimu kuamua yeye kusalia rumande kwa usalama wake......

Kongole mahakama zetu na mfumo wa utoaji haki 😍😍

#Sitaki kuwa miongoni mwa MAKHULUKU TABU nawapinga nawe uwapinge😍
#Nchi Kwanza😍
#Samia mpaka 2030 aamin aaamin 😍
Nani kakuambia
Utaona mchezo huko mahakamani ukatavyokwenda!
We tulia tuliii....
Kukaa ndani siyo issue,
Issue ni mchakato wa kesi ukatavyoenda

Ova
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.

Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na kumsomea mashtaka mawili.

Mbali na mashtaka hayo, awali waliomba Mahakama uzuie dhamana yake kwa muda. Hatua hiyo imeibua mabishano ya kisheria kati ya mawakili wa upande wa Serikali na wale wa Boni Yai.

Mchuano huo wa mawakili wa kila upande kutetea hoja zake umehitimishwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakaka ya Kisutu, Franco Kiswaga anayesikiliza kesi hiyo kusema atatoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024, saa 5:00 asubuhi. Boni Yai amepelekwa mahabusu.

Mashtaka yanayomkabili Boni Yai likiwemo la kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana.

Soma Pia:

Pia, Serikali ikawasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti yake ya X ili mpelelezi aweze kuviingilia na kuvifanyia uchunguzi.

angalia wasimpe sumu Erythrocyte ieleze taifa na dunia kuwa wasije kumpa sumu
 
Back
Top Bottom