Nyie ni "waungwana" sana; na uungwana huo sasa hivi unajidhihirisha bila kificho.
Watu hatimaye wameelewa maana kila mara mnapohimiza uungwana maana yake ni nini.
Mimi nina ugonjwa wa kusahau, halafu nimeambiwa ugonjwa wa kusahau hauna dawa, someni kuhusu amygdala, mtanushikuru, hiyo ni Sehemu ya ubongo kitengo mahususi kwaajili ya hofu kwenye mwili wa binadamu
Mmmmmm wanajuaje ? Siri nzito wanayo US Embassy Dar.....pamoja Intelligence zao nchini ña duniani......hakuna siri chini ya jua....wasihe kujidanganya......Saa 100 anadanganywa