Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KatibaIla mahakama za Kenya ziko so powerful,hii ni mara ya pili nashuhudia mahakama nchini Kenya ikipinga maamuzi ya serikali...
Hamia hukoIla mahakama za Kenya ziko so powerful,hii ni mara ya pili nashuhudia mahakama nchini Kenya ikipinga maamuzi ya serikali...
Mahakama ndo chombo Cha mwisho sio seneti ...na hajaapa badoHiyo ndio habari mpasuko
Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya
Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo
Kenya wametuacha mbali sana🐼
Credit Citizen TV
wa hapa anafukuza kesi ua ufiraji, serious violation of human rights...yeye mke wake angefilwa angeifukuza?Hii ndio Kenya ya wasomi.
Hiyo ni Nchi ya kipumbavu Kila Mkuu wa mhimili ana sharubu 😂😂Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala makubwa ya katiba na umuhimu wa kulinda maslahi ya umma.
Kikundi maalum, kilichoteuliwa na Jaji Mkuu, kimepangwa kusikiliza kesi hiyo tarehe 24 Oktoba.
Itakumbukwa kuwa Bunge la Seneti nchini Kenya hapo jana Oktoba 17 lilipiga kura kwa kauli moja kumvua madaraka Naibu wa Rais Rigathi Gachagua.
Maseneta waliendelea kujadili hoja ya kumuondoa mamlakani licha ya kufahamishwa kuwa Gachagua amelazwa hospitali akiugua maumivu makali kifuani.
Mawakili wake wakiongozwa na Paul Muite waljiondoa katika mchakato huo wakihoji kuwa hawawezi kuendelea bila uwepo wa mteja wao bungeni.
Maseneta walipigia kura hoja zote 11 zilizowasilishwa dhidi ya Bw. Gachagua na hatimaye kuidhinisha hoja tano kati ya hizo.
==========
REPUBLIC OF KENYA
IN THE HIGH COURT OF KENYA AT NAROBI CITY
COURT NAME: MILIMANI LAW COURTS
CASE NUMBER: HCCHRPET/E565/2024
CITATION: RIGATHI GACHAGUA VS STATE LAW OFFICE AND SENATE AND 3 OTHERS
ORDERS (COURT D0CUMENT)
THIS MATTER coming up for directions on the Notice of Motion and petition both dated 18th October 2024. before Honourable Justice E C MWITA AND UPON CONSIDERING the pleadings, supporting affidavits and attachments, I am satisfied that the petition and application raise monumental constitutional issues touching not only at the heart of a functioning constitution but also its fundamental tenets of the rule of law and human rights.
IT IS HEREBY ORDERED AS A MATTER OF URGENCY;
1. THAT the pleadings be served immediately and be responded to within 3 days after service.
2. THAT due the significance of issues raised in the petition and application, I certify this matter as raising substantial questions of law and public interest and therefore fit to be heard by a bench of uneven number of judges to be appointed by the Hon. The Chief Justice. The file be placed before the Hon. Chief Justice immediately for consideration in that regard.
3. THAT in the meantime, due to the issues raised in the petition and and application, and the urgency demonstrated, a conservatory order is hereby issued staying implementation of the resolution by the Senate upholding the impeachment charges against the petitioner, the Deputy President of Kenya, including appointment of his replacement, until 24th October 2024 when the matter will be mentioned before the bench to be appointed by the Chief Justice, for GIVEN under my hand and seal of the Honourable court this 18th Day of October 2024
Penal Notice: Take notice that any disobedience or non-observance of the order of the court served herewith will result in penal consequences to you and any other person(s) disobeying and not observing the same
SIGNED BY: HON. JUSTICE E.C. MWITA
Pia, soma:
- Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais
- Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani
- Yaliyojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, Oktoba 17, 2024
- Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi
September 9 , 2024
Kiini cha kesi wananchi kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=OSocEJ4pF_0
HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na hoja zilizowasilishwa na wananchi watatu ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dk. Ananilea Nkya na kuruhusu kibali cha TAMISEMI kushtakiwa na kupingwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kufuatia maamuzi hayo pia Mahakama Kuu imekataa kusimamisha mchakato wa shughuli zinazoendelea za uchaguzi wa serikali za mitaa