Mahakama ya kadhi imekaaje?

Mahakama ya kadhi imekaaje?

Status
Not open for further replies.

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
475
Reaction score
353
Hivi rasimu ya katiba imesema chochote kuhusu Mahakama ya Kadhi wakuu? Mimi siku zote nilikuwa nafikiri Waislam wanataka kuwe na mahakama ya Kadhi, sasa nimeshangaa kuona tangazo kwenye gazeti la Daily News juzi kuna mtu anatakiwa kwenye mahakama ya kadhi ya Tanzania Bara kujibu shauri linalomkabili. Sasa nikajiuliza kama mahakama ipo, Waislam siku zote walikuwa wanataka nini? Kumbe Mahakama ya kadhi ipo na inafanya kazi.
 
Luka 9 : 60 Yesu akamwambia "Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu".
 
Hivi rasimu ya katiba imesema chochote kuhusu Mahakama ya Kadhi wakuu? Mimi siku zote nilikuwa nafikiri Waislam wanataka kuwe na mahakama ya Kadhi, sasa nimeshangaa kuona tangazo kwenye gazeti la Daily News juzi kuna mtu anatakiwa kwenye mahakama ya kadhi ya Tanzania Bara kujibu shauri linalomkabili. Sasa nikajiuliza kama mahakama ipo, Waislam siku zote walikuwa wanataka nini? Kumbe Mahakama ya kadhi ipo na inafanya kazi.
Kwani Wenzetu wakristu wanatumia mahakama gani? mbona mnataka kuleta ubaguzi nyinyi mashekhe njaa?
 
Hivi rasimu ya katiba imesema chochote kuhusu Mahakama ya Kadhi wakuu? Mimi siku zote nilikuwa nafikiri Waislam wanataka kuwe na mahakama ya Kadhi, sasa nimeshangaa kuona tangazo kwenye gazeti la Daily News juzi kuna mtu anatakiwa kwenye mahakama ya kadhi ya Tanzania Bara kujibu shauri linalomkabili. Sasa nikajiuliza kama mahakama ipo, Waislam siku zote walikuwa wanataka nini? Kumbe Mahakama ya kadhi ipo na inafanya kazi.

Lisikupe shida,iko kwenye ilani ya ccm!!
 
Siiiitaki kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom